Wakristo sijui akili zenu ziko wapi? ,Yaani jamaa ni tapeli kabisa lakini bado mnakufa kwa kukanyagana.
Wengine zaidi ya 40 wakimbizwa hospital 20 imasemekana wamefariki dunia.
Chanzo ITV.
Imani ni utumwa ukiifuatilia sanaWakristo sijui akili zenu ziko wapi? ,Yaani jamaa ni tapeli kabisa lakini bado mnakufa kwa kukanyagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan!!!! Sijui kwa Nini tunadanganywa hv!!!!LoohWakristo sijui akili zenu ziko wapi? ,Yaani jamaa ni tapeli kabisa lakini bado mnakufa kwa kukanyagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisinukuliwe vibaya hata waislamu wakienda kuhiji wanakufa kwa msongamano wahindi wa india wakienda ganges river kufanya ibada zao wanakufa.....it happens ila chochote kikizidi tu ni balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Macca walikufaga watu wangapi? Acha kauli mbovuWakristo sijui akili zenu ziko wapi? ,Yaani jamaa ni tapeli kabisa lakini bado mnakufa kwa kukanyagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo wote walikua Moshi jana? tukianza kuongea apa ujinga wa kila mtu kwa kivuli cha dini tutaishi? acha kuonyesha upumbavu wako na ujinga umu.Wakristo sijui akili zenu ziko wapi? ,Yaani jamaa ni tapeli kabisa lakini bado mnakufa kwa kukanyagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida ya hao watu, waza kule Nigeria kwa yule jamaa gorofa lilipoporomoka nk, yaani wanapanga na kutekeleza wakiwa wameshika makali yasiwadhuru.Nimesoma sehemu jamaa yupo Kawe anapiga neno kama kawa...