Breast Cancer - Itakuwaje Bongo Kina Dada Wakiandamana Wamevaa Vichupi kama SA? Picha

ila tatizo hapa bongo mabinti wetu wengi wanavitambi vya serengeti lager..! wakivaa hzo bikini matumbo yatazifunika tu..! yani bikini unaiona kwa nyuma..! kwa mbele kama yupo mtupu...! HIZI BIA WE ACHA TU..!
 
They deserve my support for they did it for a noble human cause! Hongereni sana kina dada wa South.

Walau unafikiria kitu nilichokuwa nikijiuliza kwa nini waliamua kufanya hivyo.

Kwamba sometimes it takes more than guts to achieve something. Kama watu wamehibiriwa juu ya cancer hawataki kuelewa wala ku-support, basi fanya kisicho cha kawaida ili waelewe.

Ila swali ni, je? Kulikuwa na mafanikio?
 
sasa hizi ndo nchi za kuishi...! sio kila kona suruali..... sketi....magauni....! loooooo.......! inatakiwa ukiwa mjini kidogo unatembea huku umedindisha..!

thnx God for giving us women.. ! i salute u!

NO WONDER WOMEN WERE THE LAST CREATION...!

Du! Astaghafululahi!!
 
ila tatizo hapa bongo mabinti wetu wengi wanavitambi vya serengeti lager..! wakivaa hzo bikini matumbo yatazifunika tu..! yani bikini unaiona kwa nyuma..! kwa mbele kama yupo mtupu...! HIZI BIA WE ACHA TU..!

Mkuu, lakini si wengi wanakunywa bia? Kina dada wengi wanatumia soft drinks.
 
ah....wengi hapa naona ni machangu...........kumbe ndo maana HIV south ni issue sana
 
Mkuu; Sasa huko mimi siko. Ngoja wenyewe waje wakusome. I am out!

Think of Breast Cancer Only!

Tutaomba tuandamano wote wanaume na wanawake tukiwa na vichupi...Kama hatujageuka kuku kila mtu cha fastafasta
 
Niliwahi kusema humu JF kwamba itafutwe siku wanawake wote duniani wawe wanatembea wakiwa uchi kama walivyo zaliwa........kumbe yanakuja.
 
Yani sijui kwanini chupi ni big deal kwa sana Bngo? hata ukienda beach, watu bado hawajiachii, mikanga kibao. Ukienda kwenye umiss bado watu wanabaniabania, ndo mana hata wakifika huko Miss World wanatoswa mwanzoni.
 
Niliwahi kusema humu JF kwamba itafutwe siku wanawake wote duniani wawe wanatembea wakiwa uchi kama walivyo zaliwa........kumbe yanakuja.

Hee! Mkuu, lengo hasa lingekuwa ni nini?
 
Yani sijui kwanini chupi ni big deal kwa sana Bngo? hata ukienda beach, watu bado hawajiachii, mikanga kibao. Ukienda kwenye umiss bado watu wanabaniabania, ndo mana hata wakifika huko Miss World wanatoswa mwanzoni.

Mkuu;

Mimi nadhani huenda tunatunza mila na desturi zetu. Ama?
 
du bwana eeee kuna hako kameweka kidole mdomoni kibikini cheupe,, alalalalala...don try this at home...so sexy babe
 
Mkuu, lakini si wengi wanakunywa bia? Kina dada wengi wanatumia soft drinks.

.....WATAKAO DIRIKI KUFANYA HIVYO BONGO NI WALE WATAKAO ONDOA AIBU KWA KUPATA MOJA MOTO MOJA BARIIIIID.
Kazi ipo,MEWATA WANAJITAHIDI WAKISHIRIKIANA NA ITV.
Ingekuwa vp kampeni ya kuhamasisha upimaji VVU kwa hiari ingeanza kwa style hiyo?
 
"Currently Active Users Viewing This Thread: 33 (9 members and 24 guests)"

Mhhh! Ngoma inogile . . . . !!
 
Back
Top Bottom