D Dopas JF-Expert Member Aug 14, 2010 1,151 392 Jun 7, 2013 #3 Mazoea kilema, wamezoa kupigania coasta, hata na ndege??? Ila walau mbagala imepata ndege, soon kigoma itakuwa dubai.
Mazoea kilema, wamezoa kupigania coasta, hata na ndege??? Ila walau mbagala imepata ndege, soon kigoma itakuwa dubai.
Marumia JF-Expert Member Feb 11, 2012 644 213 Jun 7, 2013 #5 spati picha! wale wazee wafinger itakuwaje? maana huwa wanajidaikugombea daladala kumbe wanapiga abiria finger afu wanashuka wanajidai wamekosea basi. Kwa hii air mbagala nayo watakuwawamekosea ndege?
spati picha! wale wazee wafinger itakuwaje? maana huwa wanajidaikugombea daladala kumbe wanapiga abiria finger afu wanashuka wanajidai wamekosea basi. Kwa hii air mbagala nayo watakuwawamekosea ndege?