Breakinking News: Mwandishi wa habari wa Channel Ten auawa na polisi Iringa katika M4C | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breakinking News: Mwandishi wa habari wa Channel Ten auawa na polisi Iringa katika M4C

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kimbori, Sep 2, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Mwandishi wa habari wa Channel ten
  mkoani Iringa Daudi Mwangosi afariki
  dunia katika vurugu zilizojitokeza baada
  ya polisi kuingilia mkutano wa operesheni
  mabadiliko m4c ya CHADEMA.
  Chanzo ITV
   
 2. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wamerusha kwenye kipindi gani?
   
 3. c

  chachu Senior Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sasa naanza kuamini
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,146
  Likes Received: 873
  Trophy Points: 280
  Mode fanyeni kuunganisha hii uzi na ile iliyotangulia!
   
 5. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  RIP mwandishi. ila mbona kwann ktk hizi vurugu hawafi viongoz.
   
 6. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Kwenye breaking news katika mitandao ya kijamii
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Viongozi wapo wangapi? na raia wapo wangapi? ni mahesabu rahisi sana ambayo hutakiwi uwe na masters ya hesabu kuelewa hilo.
   
 8. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hamna lolote hapo ishu n kwamba hawa jamaa wanatuuza wananch bana.
   
 9. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Duh kumpoteza mwangosi pale Iringa ni pigo kubwa sana.
  Kweli nimeamini kuwa Polisi wameamua kutumaliza ili nchi hii wabaki wao na mafisadi ili watanue.
   
 10. U

  UncleSam Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  its about time we sue the police force for use of deadly force!! the picture i am seeing are gruesome! there is noooo way they can justify there actions. in one caption nimeona police watano kicking him! i say we hit the force with an expensive law suit and make IGP tame his dogs. lasivyo hii trend ya watu kupigwa na kuuwawa itaendela!
   
Loading...