Mkutano wa Kukusanya Maoni ya Muswada wa Vyama vya Siasa Ulioandaliwa na Chama cha Mapinduzi(CCM)

Kabisa Mkuu huyu kwenye bunge la katiba mpya alijizolea umaarufu mkubwa sana kwa kusimamia haki, uhuru na maslahi ya Watanzania. Sasa kaamua kuwa kikaragosi kingine cha dikteta kutetea maovu yake mbali mbali ikiwemo huu muswaada wa kutaka kuimarisha udikteta nchini huku akizorotesha demokrasi.

Njaa mbaya sana Mkuu.
 
Majizi ya ruzuku chadema watampinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sho
MBWIGA.jpg
ga mwandamizi akifurahia maelezo ya chakubanga
 
Back
Top Bottom