Breaking Newzz!!!!!!!!!!!!!!!! Simba Vs Yanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking Newzz!!!!!!!!!!!!!!!! Simba Vs Yanga

Discussion in 'Sports' started by Masatu, Oct 24, 2007.

 1. M

  Masatu JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,287
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mpaka sasa dk 78 Simba wanaongoza 1-0
   
 2. M

  Masatu JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,287
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Full Time Simba Kashinda 1-0 Yanga Wameendeleza Upimbi Wao Kwa Simba Kwa Kukubali Kipigo Kutoka Wana Msimbazi Ambao Walikuwa Wanacheza Pungufu Kwa Takriban Muda Wote Wa Mchezo Baada Ya Henry Joseph Kupewa Kadi Nyekundu Na Mwamuzi Othman Kazi Ktk Dk 15.

  Bao La Wekundu Wa Msimbazi Lililowekwa Kimiani Kwa Ufundi Mkubwa Kabisa Na Ulimboka Mwakingwe

  Yanga Mdebwedo Yaani Mnatia Huruma Pamoja Na Kupewa Mil 50 Na Manji Ili Muifunge Simba Bado Mmechemsha! Poleni Mwe!
   
 3. M

  Mee wa Mavituuzi Member

  #3
  Oct 24, 2007
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hao mdebwedo hamwajui nyie,,manji mjanja zile pesa alioa kuzugusha sasa ndio wataanza kumheshimu manji,,vijana wamepewa hela hao
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2007
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Nasikia Nsajigwa na Ivo Mapunda wamepigwa na mashabiki kuwahisi walipewa kitu kidogo kuhujumu timu? waliokuwa uwanjani mtuthibitishie hilo wana JF...pole Manji na Madega
   
 5. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,482
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Manji akiwa na ma-supporter wa Yanga baada ya mpira kwisha. Picha kutoka maktaba.

  Credit: Father Kidevu
   
 6. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2007
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 939
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hongera sana Simba kwa ushindi. Yanga ni wetu tu hata wafanye nini. Ila nina mashaka sana na huyu Manji wa Yanga. Inawezekana kabisa kuwa amewataka wachezaji wa Yanga wacheze chini ya kiwango ili wanachama wapate sababu ya kumngoa Madega. Yaani pamoja na kutumia 50 million bado wameshindwa kuifunga simba ikiwa na wachezaji 10 tu!!!!!!!
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2007
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 20,625
  Likes Received: 13,810
  Trophy Points: 280
  Hizi hela anazomwagamwaga Manji kwa hawa mdebwedo zinahusiana na zile biashara za majengo ya NSSF na PPF? maana anatumia kama hana akili nzuri,haoni uchungu hata kidogo!
   
 8. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 952
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Yanga ni wateja tu kwa SIMBA maisha yao yote.
   
 9. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 952
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Yanga ni wateja tu kwa simba, hizo million kumi hazikutosha kufanya ndumba au wazee walizigawana wakasahau kwenda kuroga sumbawanga.
   
 10. W

  WAKUZUKA! Member

  #10
  Oct 25, 2007
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie washkaji wengine simba damu! na mnajua fika kwamba ndugu Othman Kadhi naye ni SIMBA DAMU! je mlitegemea aitose timu yake?
  Kumtoa mchezaji wa simba ilikuwa danganya toto!!!! Lakini ndiyo soka la bongo ilo!
   
Loading...