Breaking Newz: Team Lowasa wakabali kumpa kura Amina S. Ali

Status
Not open for further replies.
Naunga mkono hiyo move.... JK na watu wake lazima waadabishwe mwanzo mwisho ... Membe, January OUT .... Migoro na Magufuli nao should be OUT soon ... Safari ya Matumaini ipo pale pale ...
 
Nyie mpeni kura mnayemtaka, lakini wakati muhimu kuliko wote ni wakati wa kuhesabu KURA!! Kwenye chumba cha kuhesabia kura watakuwepo "WENYE CHAMA" na A kuwa B ni jambo la kawaida kwa chama letu! Je mnakumbuka yaliyotokea wakati wa kuhesabu kura wakati wa mkutano mkuu wa CCM 2012?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom