breaking newz: soko la uhindini mbeya linaungua

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,591
58,819
Habari Kutoka Mbeya zimeingia sasa hivi kwamba soko kuu la Uhindini katika jiji hilo linaangamia kwa moto kama inavyoonekana katika picha hii ya ripota wa Globu ya Jamii aliyeko eneo la tukio inavyoonesha. Mpaka sasa juhudi zinafanyika Kuuzima, lakini wapi.....
source:michuzi
 
too bad.
fire station is just located a stone_throw distance there, how come they just watch at the inferno!
 
Faya walifika ndani ya dakika tano, lakini walishindwa kuufikia moto eti kwa kuwa soko haliingiliki kwa gari.
Mbeya nakupenda u mali yangu, nakuonea huruma.
 
du ilianzia mwanjelwa liliteketea kabisa...................
 
Habari Kutoka Mbeya zimeingia sasa hivi kwamba soko kuu la Uhindini katika jiji hilo linaangamia kwa moto kama inavyoonekana katika picha hii ya ripota wa Globu ya Jamii aliyeko eneo la tukio inavyoonesha. Mpaka sasa juhudi zinafanyika Kuuzima, lakini wapi.....
source:michuzi

Mtihani wa kwanza kwa Muheshimiwa sana Mbunge wa Mbeya mjini Mr Sugu!!!!!! Hapo ndio sehemu ya kuanza kujipima kama kweli unaweza uongozi
 
Back
Top Bottom