Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Mchechu acharuka amewafukuza habari maelezo kwa kuwatolea nje vitu vyao
Mkurugenzi wa shirika la nyumba tanzania!mchechu ni nani mkuu?
mchechu au msechu??
mchechu au msechu??
Habari haipo clear.
Nakubaliana na wewe!Habari haipo clear.
Nakubaliana na wewe!
Inabidi mtoa habari atupe na sababu za reaction ya Mchechu!
Umeshaambiwa hawajalipa pango, unataka sababu gani nyingine? au mgumu kuelewa??
safi sana watu km mchechu ndo wanahtajika tz