Breaking Newz: Kizaza habari maelezo watimuliwa!

kama ni kweli haya ni mambo ya aibu, sijui viongozi wetu wameweka wapi priorities zao.
 
kumbe mi jitu inajihifadhi kama watoto wadogo kumbe wanatakiwa kulipia ndio safi hiyo..
 
Kama habari hii ni kweli, BIG UP MCHECHU. Ole wake atakayemnyooshea kidole Mchechu tutakula naye sahani moja sisi wananchi! Sheria ni msumeno, haijalishi wewe ni serikali na ndo ulitunga sheria wala nini! Safi
 
Nahisi kuna mtu anatafutwa kwenye hii movie mpya ambayo ndo kwanza imeingia sokoni, alikuwa wapi miaka yote au ndo mambo ya siasa za makundi sasa wamegeukana mwingine anamwaga mboga mwingine ugali. maana hata yale magazeti yaliyokuwa yanaandika kubeba chama fulani na kuponda kingine fulani huku yakipindisha ukweli wakati wa uchaguzi sasa hivi yameanza kuongea ukwelli
 
Sio umaarufu mkuu, wapo watakao enda mbali na kudai pengine anataka uwaziri ****** atakapobadili baraza lake la udaku
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom