breaking news....

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Habari tulizozipata sasa hivi kwenye chumba chetu cha habari zinasema jana usiku kwenye mkesha wa muungano kapos zifuatazo zili organize come together ili wabadilishane mawazo na kufahamiana kwa ukaribu.Kutokana na kukolea kinywaji ( hasa jak daniel) ikaanza kutokea sintofahamu ya nani belongs to whom,matokeo yake watu wakaanza kubusiana kiholela na ngumi kufumuka.
Anyways to put the story short kapo zifuatazo jana zimeachana rasmi:
rejao/canta (canta karudi kwao kwa mzee mtambuzi)
nitty/SL (SL angalau kaambulia mimba)
michelle/HC (hawa walishaachana kabla jana lilikuwa hitimisho tu)
TF/Husninyo (it was inevitable hata kama sio party)
Aspirin/kongosho( hata hivyo konnie alishaanza kumdharau Aspirin kisa kaishiwa)
st ivuga/mwali (too sad,mwali mikono juu busy wailing,ivuga kaonekana mchana huu mlimani city na ninliyu...)
Taarifa za kiintelijensia zinasema mchana huu ba'nchuchu kaonekana kwa kwa babu DC akitafuta msaada wa kisaikolojia ,i don't know kimemkuta nini,ila ana bendeji kubwa jicho la kushoto.
Ya kiwanda cha usagaji nafaka ltd chichemi,ni makubwa ingawa naye alikuwepo.
 
Asante kwa taarifa yako.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Pia. Kuna na mdada mmoja mashuhuri memba wa JF (jina tunalo), ameonekana juu ya kaburi la kanumba mkononi akiwa kabeba picha ya rejao.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom