Breaking news

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,191
85,287
Rais Mugabe aachia ngazi

Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameamua kuachia ngazi.

Taarifa za kuaminika zinasema ya kwamba Rais Mugabe aliachia ngazi leo asubuhi wakati akishuka toka kwenye ndege bila kusaidiwa na mtu yeyote.

RAIS MUGABE AACHIA NGAZI

MKEWE ASHASEMA YY NDIYE RAISI KWA SASA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom