Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 55,881
- 29,246
Hii ni ushindi kwa wana JF wote na wote wapendao nchi ya tanzania
HABARI-WABUNGE WAMGOMEA FISADI KARAMAGI
---Wakataa miswada mipya kujadiliwa,mpaka ripoti ya RICHMOND
----Wasema ""tumechoka kuwa mambumbumbu bungeni,,wamzomea na kumwamrisha afunge mjadala ,,
CHANZO=HABARI LEO -4/02/2007
NDUGU WANA JF WOTE HII NIHABARI YA KUFURAHISHA NA KUONYESHA USHINDI UPO NA KAMA AUJAFIKA BASI UNAKARIBIA..KWA MARA YA KWANAZA WABUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAMJULISHA WAZIRI KARAMAGI SASA TUMECHOKA KUWA MAMBUMBU......
WABUNGE WA JAMHRI YA MUUNGANO WADANGANYIKA JANA WALIAMUA KUMTOLE A UVIVU WAZIRI NAZIR KARAMAGI WAKATI AKILAZIMISHA KUJADILIWA MSWADA WA TANESCO KUVUNJWA NA KURUHUSU WATU BINAFSI KUSAMBAZA UMEE...HAYO YALISEMWA JANA WAKATI WAZIRI KARAMAGI ALIPOANDAA SEMINA KATIKA UKUMBI WA WABUNGE KUELEZEA MISWADA YA SHERIA YA UMEME NA YA BIASHARA YA MAFUTA,,
WABUNGE HAO WALIDAI WIZARA HAIKUJIANDAA KUKUELEZEA JUU YA SHERIA HIYO NA PI INA LENGO""LA KUWANUFAISHA WATU WACHACHE AMBAO WANATAKA KUENDELESHA BIASHARA YA KUTOA HUDUMA ZA UMEME"
MBUNGE WA MBEA MJINI(CCM)=HATUWEZI KUZUNGUMZA MUSWADA WAKO MPAKA UTULETEE RIPOTI NZIMA YA RICHMOND,nikimnikuu ""mh karamagi mtu akiitwa mbunge ana akili nzuri tulishakuwa mambumbu huko nyuma ,,na tukikosea tena watu watatuita stupid(wajinga),,nani kaipeleka TANESCO ICU,,TUKISHASOMA RIPOTI YA RICHMOND KWA SIKU MBILI NDIPO TUTAJUA HUENDA KUNA MKONO WA MTU ULIOFIKISHA HAPO ILIPO,,,
MHESHIMIWA SANA "MAMA ANNA KILANGO"::Nasema kama mama na mbungehata utuweke hapa kwa siku kumi hatutairuhusu miswada hii wewe waziri umekuwa na richmond ndio unaijua sisi hatuijui tunataka kuijua sasa"alisema mh A.MALECELA.......
MBUNGE WA BUSEGA..DK RAFAEL CHEGENI:::UMEFIKA WAKATI TUFANYE WANANCHI WANACHOTAKA,,BUNGE kuwa rubber stamp(mhuri) sasa basi jamani,umepitwa na wakati,tumechoka kuonekana washenzi kila mara namnukuu..tuiweke pembeni miswada tumalize yaliyo mezani..kuna mikataba mibovu mingi tu kama PTL RICHMOND na kila tulipobinafsisha tumeungua moto tukishindwa kufanya wanachotaka wananchi na tujiuzulu..."""sijui fedha za BOT zimeenda kuunda makampuni ya umeme.inawezekana zimeenda kununua majenereta hatupo tayari kupokea msawada wowote mh,,inaonekana hata ninyi hamjiamini mmekuja na wasiwasinaomba mwenyekitii funga semina yako tukatane bungeni tafadhali mbunge wa CCM LEKULE LAIZE namnkuu
MBUNGE WA KARATU DK W.SLAA::kupitishwa kwa sheria hiyomkutaruhusu ubadhirifu zaidi na kutolea mfano utaratibu wa mikopo ya uagizaji wa bidhaa nje(import support)kati ya 1985-1992zaidi ya makampuni 982yalianzishwa ba mtu mmoja akianzisha kampuni 32 na kusababisha upotevu wa trillion 1 na kwa mazingira ya nchi hayakubali wawekezaji wa umeme