Breaking news: Viongozi wote chadema wasomewa mashtaka mahakamni.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wana jf asubuhi niliwataarifu kuwa viongozi wa CHADEMA watafikishwa mahakamani.Hatimaye wamefikishwa mahakamani saa nane hii ila polisi baada ya kupeleka jalada kwa mwanasheria mkuu wa serekali kanda ya Arusha imeandaliwa hati ya kosa moja la unlawfull assembly. Asanteni sana
 
Na baada ya hapo wako wapi sasa? Mbona walikuwa na kibali inakuwaje unlawfu assembly
 
Mpaka kieleweke mwaka huu...as long as CDM wana ushahidi wakutosha!Mungu awasaidie!
 
Back
Top Bottom