Katika hukumu yake yenye kurasa zaidi ya 100.Jaji Mushi wa Mahakama kuu,ametupilia mbali maombi ya Tanesco katika kuipinga tuzo iliyotolewa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi.Katika hukumu yake hiyo ameeleza kuwa hakuna sababu hata moja yenye kuonesha kuwa kulikuwa na upotoshwaji wa aina yoyote uliyofanywa na wasuluhishi.Ninatafuta nakala ntaiweka baadae.
Katika hukumu yake yenye kurasa zaidi ya 100.Jaji Mushi wa Mahakama kuu,ametupilia mbali maombi ya Tanesco katika kuipinga tuzo iliyotolewa Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi.Ninatafuta nakala ntaiweka baadae.
DU! inamaana yale mabilioni tutayalipa? Tumekwisha nahisi bei ya umeme inapanda soon.unit moja inakimbilia elfu tano mda si mrefu.
Jaji kateuliwa na Rais....Rais 'hawajui' wamiliki wa Dowans....Dowans inashinda kesi
Jaji ameamuru hiyo tuzo isajiliwe haraka na Dowans walipwe chao.
Jaji kateuliwa na Rais....Rais 'hawajui' wamiliki wa Dowans....Dowans inashinda kesi
TANESCO walishakubaliana na DOWANS kwamba purukushani lolote na kisheria likitokea wataenda kushitakiana kwa arbitrators nje ya nchi, kwa maneno mengine, walishadharau mahakama za kwetu, wameenda huko wameshindwa ndio wanarudi kwenye mahakama zetu zitengue hukumu? Jaji amekataa ushenzi na dharau hiyo ya TANESCO, kasema eff that!.
Nina hakika asilimia 99.9 kwamba Jaji lazima ndivyo alivyosema, "mlitaka wenyewe kwenda kushitakiana nje ya nchi, yamewashinda ndio mnaniletea mimi, kwendeni zenu huko." Honorable Judge, great job.
yani wewe ni kiaziTANESCO walishakubaliana na DOWANS kwamba purukushani lolote na kisheria likitokea wataenda kushitakiana kwa arbitrators nje ya nchi, kwa maneno mengine, walishadharau mahakama za kwetu, wameenda huko wameshindwa ndio wanarudi kwenye mahakama zetu zitengue hukumu? Jaji amekataa ushenzi na dharau hiyo ya TANESCO, kasema eff that!. Nina hakika asilimia 99.9 kwamba Jaji lazima ndivyo alivyosema, "mlitaka wenyewe kwenda kushitakiana nje ya nchi, yamewashinda ndio mnaniletea mimi, kwendeni zenu huko." Honorable Judge, great job.