Breaking News: TANESCO WAMEKAA KIKAO KUANDAA WARAKA WA KUWALIPA DOWANS. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking News: TANESCO WAMEKAA KIKAO KUANDAA WARAKA WA KUWALIPA DOWANS.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtaka Haki, Jan 18, 2011.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taarifa za uhakika kutoka ndani ya mwanakikao. Zinasema uongozi wa TANESCO wako leo katika kikao wanaandaa waraka wa kuwalipa DOWANS. Ni Mungu tu aingilie kati hali ya nchi hii. Saa chache zilizopita ( Sasa ni saa 5:30pm).
   
 2. A

  Anold JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  yeye dowans kwa vyovyote anasema!!! lazima hela tulipe, si ameshatujua wa tz ni watu wa ndiyo tu? we fikiria, gas imepanda ghafla wa tz tupo kimya, umeme, sawa mzee tutalipa, nauli poa tu, gharama za maisha haina shida tutalipa, sasa tuwe wapole tu.! sana sana tuwalaani kwa kusema "mungu atawalipiza"
   
Loading...