Breaking news:"Sir ALEX FERGUSON" abwaga manyanga,eti hadhi yake ni ya juu zaidi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news:"Sir ALEX FERGUSON" abwaga manyanga,eti hadhi yake ni ya juu zaidi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by CHAI CHUNGU, Mar 17, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Katika hali ya kutatanisha na kuwashangaza wapenda soka wengi,kocha wa timu ya mpira wa miguu ya SAMBLICHOLE ya KIPUNGUNI-KITUNDA Joseph Mnanka 'aka'SIR ALEX FERGUSON' amebwaga manyanga asubuhi hii,kisa eti hadhi yake haiendani na mshahara wa buku 20 anaolipwa kwa mwezi.
  Ameweka wazi kwamba yupo free na timu yoyote inayomuitaji kwa dau zuri yupo tayari.
   
 2. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hujatulia!
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Dahhhhhhh!
  Nimekuja mbio namna hiyo kumbe udaku?????
  Hufai mkuu.Ngoja nikaendelee kupiga kipolo changu cha viazi na chai ya mchaichai.
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Weekend njema
   
 5. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akajiunge na Man united ya KITUNDA watamlipa vizuri.
   
 6. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  wengine tuna presha za moyo humu
   
 7. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  oohoo,ngoja nikaendelee zangu kupiga puli bafuni
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Pole pole mkuu ohooooo!
  Shauri yako mimi simo.
   
 9. K

  Kamzuzu Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungeniua cjui ungewaambia ndugu zangu nini kila mtu ana presha ati we endelea tu
   
 10. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! presha imeshuka acha niendelee na safar yangu
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  aiseeeh!!
   
 12. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nilisha anzakushangilia manake ndo najua mwanzo wa kufa man u.Manake siwapendi
   
Loading...