Breaking news:Rwandair kuleta Ndege Mpya ya Pili 28 OCT KUTOKA BOEING COMPANY!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,132
17,109
MMM
KWELI UMEFIKA SASA MARAIS KUANZA KUONGEA MAMBO MUHIMU YA KUSAIDIA KILA SEHEMU PALE MNAPOITANA
INATIA MOYO KUONA NCHI NDOGO KAMA RWANDA IKIZIDI KUONGEZA NDEGE NA SI NDEGE TU NI MPYA KUTOKA KIWANDANI
NA KUACHANA NA KALE KAMCHEZO CHETU CHA KUWATUMIA MADALALI AMBAO WAMEUMIZA KAMPUNI YETU HAPO ILI[POP HUKU
BAADHI WAKIENDELEEA KUNEEMEKA MPAKA MIKATABA ITAKAPOVUNJWA.....

HABARI ZAIDI ZINASEMA KAMPUNI YA NDEGE YA RWANDA BAADA YA KUONGEZA NDEGE NYINGINE HIVI KARIBUNI KUTOKA MAREKANI
BOEING COMPANY SASA IMEAMUA TENA KULETA NDEGE NYINGINE MPYA OCTOBER..HAKIKA HII KAMA ITAKUWA KWELI
BASI TUNAWATAKIA KILA LA KHERI WADAU WOTE WA ANGA AFRIKA

MUNGU IBARIKI RWANDA MUNGU IBARIKI AFRICA

splash-smile.png

Now looking forward to taking delivery of the Second Boeing 737-800NG in October 2011
[h=4]Proud to be the first African airline to own and operate the Next-Generation Boeing 737-800 with Sky Interior[/h]
 

Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
7,107
11,826
Big up Kagame wewe ndio kiongozi wa ukweli sio walyunga/viongozi wa bongo komedi nyingi hakuna kinachofanyika kazi kufunga safari kila kunapokucha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom