Breaking news:prof maboko asalimu amri udsm.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,ule mkwara alio uchimba huyo jamaa hapo juu eti kwa continue students lazma 2lipe sehemu ya cost 2nazodaiwa ndo 2pewe bumu le2 umegonga mwamba na hatimae bumu limewekwa tangu majuzi maana wana harakati walikua waisha panga kuwasha moto mapema nxt week..God blec wanaharakat wote wa udsm nd God blec udsm...solidarity forever.
 
Msome sasa sio mnamaliza chuo mnaambiwa kuandka hata project proposal mnashangaa tu
 
sasa sio ndo muende kuweka heshima bar ka mnavosemaga,hbu waambie wadogo zako watume namba za viatu yao ili nao wafaudu kidogo
 
Fuateni kilichowapeleka shule wadogo zangu. Hayo mambo ya boom yapo tu! Chamuhimu ni kufaulu tu
 
mi mbona hola in my account?

labda huku apply loan,kwani wametoa majina ya ambao hawakuapply online.cheki Web yao maeneo ya loan results fungua.ukiona upo fanya utaratibu mkuu kwani wapo seriuz.
 
sasa sio ndo muende kuweka heshima bar ka mnavosemaga,hbu waambie wadogo zako watume namba za viatu yao ili nao wafaudu kidogo

ce wengne ni mafinalist so hayo mambo ya kitoto 2meisha yaacha.
 
Senetor uwe unaandika vizuri bana unaandika kama unamwamdikia mshikaji sms babu...
 
Wadau,ule mkwara alio uchimba huyo jamaa hapo juu eti kwa continue students lazma 2lipe sehemu ya cost 2nazodaiwa ndo 2pewe bumu le2 umegonga mwamba ....
Nilidhani hivi vifupisho vinatumiwa na laymen, kumbe hata wanachuo wanavitumia !! Kwa kweli hizo lugha za kwenye sms za mobile phone huwa zinanikera, kwani hakuna significant time unayookoa kwa kuandika '2' badala ya 'tu'. Wasomi wengine ni yeboyebo kabisa!
 
Lugha za facebook hizo mkuu, vumilia utazoea tu
 
Udsm mnatakiwa kuendelea kuwa role model wa vyuo vingine katika kila jambo
 
Back
Top Bottom