Breaking news: Prayers answered - Its a baby girl for TEAMO and his family

GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,279
126
Hatimae dakika kama kumi zilizopita TEAMO na mkewe wamejaaliwa kupata mtoto wa kike salama salimin

God is great

We are not sure if the name starting with G will hold for the new baby girl

Its a lovely day for JF
 
Be Specific,Who is Teamo by the way?
 
JF tukiomba huwa linawezekana...!
God of ISRAEL IS ALIVE, NA WALA HAENDI SAFARI, WALA HASINZII, WALA HALALI!
 
Hongera sana teamo ukipata mtoto wakike umepata bingo!
 
JF tukiomba huwa linawezekana...!
God of ISRAEL IS ALIVE, NA WALA HAENDI SAFARI, WALA HASINZII, WALA HALALI!
Eh! Mi nilifikiria ni Mungu wa ulimwengu mzima... mwe!

Hongereni sana Mrs & MrTeamo, Mwenyezi Mungu akuongezeeni furaha na mapenzi kwenye ndoa yenu... na akukuzieni mtoto wenu. Awe ni mtoto mwenye adabu na heshima kwa wazazi na kwa jamii kwa ujumla... Mwenyezi Mungu amuepushe na mafataki na kila shari himpitie mbali. Amin!
 
Good news indeed! Nawatakia afya njema mama na mtoto! GY the G name will hold! I can propose Glory!
 
Hongera sana Teamo..Wahome Mutahi aka Whisper alikuwa anamuita binti yake investment
 
Hatimae dakika kama kumi zilizopita TEAMO na mkewe wamejaaliwa kupata mtoto wa kike salama salimin

God is great

We are not sure if the name starting with G will hold for the new baby girl

Its a lovely day for JF
Hizi ni Habari njema sana.Mungu awape baraka tele na wazidi kuijaza dunia.wapwa lini tukamuone mtoto?
 
Hatimae dakika kama kumi zilizopita TEAMO na mkewe wamejaaliwa kupata mtoto wa kike salama salimin

God is great

We are not sure if the name starting with G will hold for the new baby girl

Its a lovely day for JF

Congratulations for the new born baby, let our Good Lord give her strength and blessisngs for the whole family. Mpe mama hongela saana.

What is a home without children? Quiet!
Henny Youngman
.
 
mabrouk teamo!!!!! may alla tekbar ur doughter ya rabb....congratlation,,,,nothing to give u here far but only god knows how much we wish 4u,,,allah ibarik,,,
 
jf tukiomba huwa linawezekana...!
God of israel is alive, na wala haendi safari, wala hasinzii, wala halali!
sala zimejibiwa... Ila mimi huwa simuiti mungu wa israel, namuita mungu wetu wote....
 
Back
Top Bottom