Breaking News: Msafara wa makamu wa raisi wapata ajali

jamani tupeni taarifa zilizo sahihi kuhusiana na jambo hili ni nyeti sana
 
jamani tupeni taarifa zilizo sahihi kuhusiana na jambo hili ni nyeti sana

gari la polisi lilidumbukia kwenye korongo baada ya dreva kushindwa kukata kona wakati msafara wa makamu wa rais ukitokea Lushoto kuelekea Mombo, inasemekana askari wawili walifariki palepale na wengine wanne kujeruiwa.
 
Back
Top Bottom