Breaking news:mliotajwa majina yenu kwenye list ya yule dada tapeli wa bodi mkachukue fedha zenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news:mliotajwa majina yenu kwenye list ya yule dada tapeli wa bodi mkachukue fedha zenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 24, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,373
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  Hayawai hayawai huwa
  wenye majina yaliotajwa kwenye list ya yule dada wametuma salamu kwamba waanaenda
  kufungua kesi mahakamani kwa kutajwa wamelipiwa wakati awajasomeshwa
  wakati hayo yakiendelea bodi imekaa jioni hii kuskiliza kashfa hii kubwa ambayo wanasayansi wanasema
  hiko ni kiasi kidogo sana sana..na hivyo kuna mapapa wamekaa wanahangaika kuhakikisha kesi ya huyu dada
  inaisha juu hata hivyo habari njema hiini kama wajua na kama ujui kwamba wajua wale waliotajwa kwenye
  list katika kuhakikisha hiliiswala aliendi mbali wanatarajiwa kuitwa na kukabidhiwa fedha zao

  hi ni kama wajua ;binafsini na dada zangu watatu wametajwa na alichofanya huyu dada ni kubadili majina
  suzan lyimo.lyimo suzan ,suzan m lyimo huyu amehusika degree tofauti zaidi ya tano bcom;bba,uhandisi yote ni huyu dada nahsi dau lake ni kubwa sana
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Tunafukuzwa Vyuo kwa kudai Loan Board iwakopeshe watoto wa Masikini waliokosa mikopo watu wanacheza na majina na hiyo ndio Tabia huyo ni mmoja tu hawezi kuwa pekee yake kweli Tanzania imeoza na Watanzania wake.....hili jambo linaonekana Dogo sana kwa wale mapapa.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,373
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawa soln ni kwenda mahakamani kudai hakai yao kutumiwa majina yao kwa wizi nakwambia mkulo mtamfukua alipo,,mzee wetu wa msoma atakimbia nchi msione watu wanapanda ma gari ya bei kadhaa mkahisi wanavua nguo kila mwanamke huyo sasa alikuwa anacheza na makaratasi tu loh
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kila siku wakubwa wa hii nchi eti wanaimba maadili ya umma umma umma,wapi! Hawezi kula peke yake na hii ni vijisenti tu.Wale watu "TISS" sioni kazi wanazofanya kwenye taasisi zetu za umma,wizi mtupu.
  "Taifa" linanuka na hii ni aibu.
  Wapi Credibility,Cosistency,Transparency,Creativity.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  muendage tu kuchukua huo mshiko maada yamezoea hayo..
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  watanzania bana..huyu atakuwa hakuiba mwenyewe..kawapunja wakubwa wamemuunguza
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana, kuna watu walitembeza makaratasi wachangiwe ili waweze kusoma. Kuna vijana watoto wa maskini na yatima wamekata tamaa mpaka sasa wameamua kujitolea kufundisha shule za kata ili amgalau kujikimu baada ya kukosa mikopo!! HAKYAMUNGU HUYU DADA ANGEKUWA KARIBU HAPA NINGEMTIA KIDOLE CHA MAKALIO ILI HASIRA ZANGU ZIPUNGUE TU!
   
 8. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mi naamini hata ile kamatiya bunge yakina zito ya mashirika ya umma iko kwenye mgao ingawa naamini zitto ajashiriki..na tume imekuwa wapi mpaka watu wanavuta ndefu hivi nasema
  huyu mwanamke atatuonyesha mbali jamani omben hii kesi iendeelee nahisi NDOTO kunionyesha ishaisha kwa jinsi wanavoyhangaika wakubwa
   
 9. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Dah...unalala masikini unaamka tajiri...ulaji huo nje nje...bila hata Waliotajwa wahakikishe wanapewa hela zao.
   
 10. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 331
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  "TISS" umenikuna,nisipomwona JK kwenye video na wao na thuti thao huwa nasahau kama wapo
   
 11. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nchi hii kuna wezi kila ofisi
   
 12. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Wakiandamana kudai mikopo wanapigwa virungu, wanawekwa rumande, wanafunguliwa mashtaka na wanafukuzwa vyuo.

  Je huyu alekamatwa na wizi huu anafanywaje?????
  Sisi wananchi tunaweza kuamua hatma yake
   
 13. l

  lugendosisty Senior Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tanzania,we acha tu!
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,373
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  niko na LIST JAMANI NAONA WACHAGA WENGI KWELI EMBU MNAONAJE WACHAGA TUFUNGHUE KESI KUMMUULIZA HUYU DADA AMETUONAJE MPAKA ATUSHIRIKISHE KWENYE MAJINA YETU.....NA HII INAONYESHWA WACHAGA WENGI WANAFAULU LAKINI WANANYIMWA HAKIZAO WALAHI SIKUTANIII SOMA

  LYIMO
  MASSAWE\
  MEELA
  KIRRINGA
  NDESAMBURO HANA ADABUA ANACHAFUA UKO WA MH LAANA MLAANIKA HUYUUUUUUUUUUU
  MOSHA
  MOSSHI
  SIRIWI
  ALICHOFANYA KILA JINA KAMWAGA KWWENYE KILA DEP ALAFU KWENYE DEP ZINGHINE KAGEUZA JINA EG
  SUZANI LYIMO-----BCOM

  ENG--UNAITWA LYIMO SUZAN HUYU KWELI HATA KUIBA AJUI SI ANGEOMBA WALE WACHAGA PALE TRA TUMPE HINTS ZA KUANZIA

  KYERUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
   
 15. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  shit...hii nchi imeoza kabisa...mtu anaiba hela yote hiyo halafu watoto wa walalahoi wanakosa mkopo...alaaniwe yeye,wote walioshiriki na serikali nzima ya mfalme ****.
   
 16. m

  massai JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii itaishia
  hewani
  kama
  kawaida,utasikia
  kesi
  ikiwa
  mahakamani
  hakuna
  ruhusa
  yakuhoji,namchezo
  uakua
  umeisha,tumejaliwa
  kuchukulia
  poa
  watanzania
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  huyu mama mgumba mwenye roho mbaya kama wauza sumu!! Yaani alaaniwe yeye na uzao wake shetwani mtoka kubaya!!
  Kila tukigoma tunaambiwa tunashinikizwa na chadema wakati kuna mapaka! Bodi ya mikopo..
   
 18. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Damn,we're so busted!
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Angekuwa karibu yangu....
   
 20. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wachaga ni wakoloni waliobaki afrika
   
Loading...