Breaking news:mbuyu twitte ndani ya kilimanjaro on transit to dar

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Habari zilizotufikia hivi punde mbuyu twttite mchezaji wa yanga na best wa simba wametua mjini kilimanjaro wakisubiri dk 30 kuelekea
dar es salaam.

Wana yanga wote tunawaomba mjitokeze kwenye mapokezi
ndege itatua saa 0415pm saa afrika ya mashariki tutakuwa tukiwapa update jinsi inavyotua na mpaka atakaposhuka

karibu m.twttie tuna matumaini rb iko karibu kama mlivyoendelea kubwabwaja kwenye redio
 
he he ngoja aje tuopne mpira wake manake twite twite utafikili messi
 
Habari zilizotufikia hivi punde mbuyu twttite mchezaji wa yanga
na best wa simba wametua mjini kilimanjaro wakisubiri dk 30 kuelekea
dar es salaam ,,,wana yanga wote tunawaomba mjitokeze kwenye mapokezi
ndege itatua saa 0415pm saa afrika ya mashariki tutakuwa tukiwapa update jinsi inavyotua na mpaka atakaposhuka

karibu m.twttie tuna matumaini rb iko karibu kama mlivyoendelea kubwabwaja kwenye redio

Huyo mtamtandika bakora siku tukiwafunga saba..maana washambuiaji wa Simba nilivyo waona hakuna cha Mbuyu, Yondani...pata picha huku ngasa, Okwi, Akuffo,Sunzu, Boban, Kazimoto,...poleni sana
 
naona mnataka kumfanya Rage amwage mchozi...maana lile la mwanzo tu lilikuwa balaah!
 
Hili dudu la kuwashangilia wanaume sijui limetoka wapi, kunahaja ya kuwatafuta wataalam wa kuua wadudu waje waliondoe kwenye mitaa ya Dsm, hasa jangwani na msimbazi: ant virus, dudukiller, karate! Au nini!, pambafu kabisa.
 
Haya ngoja tuone Yanga ikishiriki mashindano ya dunia!!!!! Ukweli timu Tanzania hakuna, mnapoteza muda tu.
 
Najiuliza toka nisikie sakata la usajili wa huyu mchezaji kwamba anakuja kulipwa pesa za bure ama kufanya nini hapa?

Angesajiliwa Simba ama Azam ningesema anataka kuonekana ktk Vilabu vikubwa vya nje sababu klabu zote 2 zitashiriki ktk mashindano ya Kimataifa.

Sasa Yanga anakuja kukimbiza mpira ktk viwanja vibovu na ligi mbovu,ana akili sawa sawa huyu?!
 
Najiuliza toka nisikie sakata la usajili wa huyu mchezaji kwamba anakuja kulipwa pesa za bure ama kufanya nini hapa? Angesajiliwa Simba ama Azam ningesema anataka kuonekana ktk Vilabu vikubwa vya nje sababu klabu zote 2 zitashiriki ktk mashindano ya Kimataifa. Sasa Yanga anakuja kukimbiza mpira ktk viwanja vibovu na ligi mbovu,ana akili sawa sawa huyu?!

kafata kombe la kagame akienda uko simba na azam atajisumbua tu, anataka afate medali kama wakina van pes,song,clichy,nasri, fabrigas
 
Kweli Watanzania sijui nani katuroga. Yaani mtu anahamasisha kabisa Umma ufike uwanja wa ndege kumpokea huyu Twitter sijui Twite.

Hajatathmini kwamba hao watu wataofika Uwanja wa ndege hiyo saa kumi watasababisha tabu gani huko mabarabarani kwa Wananchi wanaotoka makazini kujenga Taifa.

Ushabiki usiokuwa na kichwa wala nywele. Tunaacha kushabikia mambo ya msingi! Eti unatuwekea Breaking News tukampokee Twitter uwanja wa ndege. Kweli kuna maiti nyingi zinatembea hapa mjini.
 
Kweli Watanzania sijui nani katuroga. Yaani mtu anahamasisha kabisa Umma ufike uwanja wa ndege kumpokea huyu Twitter sijui Twite. Hajatathmini kwamba hao watu wataofika Uwanja wa ndege hiyo saa kumi watasababisha tabu gani huko mabarabarani kwa Wananchi wanaotoka makazini kujenga Taifa. Ushabiki usiokuwa na kichwa wala nywele. Tunaacha kushabikia mambo ya msingi! Eti unatuwekea Breaking News tukampokee Twitter uwanja wa ndege. Kweli kuna maiti nyingi zinatembea hapa mjini.

wivu unaendelea kufanya kazi
 
Back
Top Bottom