Breaking news;MAGUFULI AKAMATA NETI ZA BUSH BWAWA LA MUNGU

Mukulu, issue ya BUSH muulize Kubenea, sio lazima nijue kila kitu dunia hii.

Sasa unamruka mleta mada. Ati hujui kila? Kama hujui kila kitu, umejuaje kwamba mleta mada ni Kubenea?

Na kama hujui ya Bush, kwa nini ulijifanya mstari wa mbele kueleza kitu ambacho hukielewi? Acheni kuzusha.
 
na wewe uko king'ang'anizi mno....
 
Wavue kwa hizo net, waue mayai na kuvua juvenile fish, kusiwe na recruitment. Mwisho wa siku hakuna samaki kabisa, watakula hizo net badala ya kutumia kuzuia mbu kudadadadadeki!

Watanzania hawapendi kusikiliza wataalam, wahusudisha short cuts na hawana longtime planning walai tena. No wonder mafisadi baadhi wanatetewa na watanzania hao hao wanaojiita wapiga vita ufisadi.

Uwiano

Ngoja nifafanue kidogo bila kudisclose my ID, tuliishafanya multisite studies in Africa, kugawa vyandarua kwa wamama wajawazito na under 5s, lakini majibu yake ni yakusikitisha, Uganda walikuwa wanatumia kushonea nguo za bibi harusi, maeneo ya waislam Sudan na mwambao wa bahari ya Hindi, wananchi walikuwa hawtaki kutumia vyandarua vyeupe walikuwa wanasema ni sawa na kulala kwenye jeneza, maeneo yenye uvuvi kama Kilombero Tanzania, along river Nile wananchi walikuwa wanatumia net hizo kuvulia samaki ie dagaa...tukabadili approach Uganda na ukanda wa pwani tukawapa net za blue na kijani...wanancni wakaja na jipya zaidi eti joto zaidi kulala ndani vyandarua.....baadaye tulikuja ona imapct ya bed net ni ndogo. Tukajipanga upya kwa kufanya kampeni za community awareness walau tukaeleweka ...kama nilivyosema awali wananchi hawa wanaangalia shida walio nayo leo.....wanazitumia kuvulia samaki.....the impact of knowledge, attitude and practise (beliefs) KAP was very evident on our intervetion....kazi kweli kweli....

Ni kwamba Waziri kaamuru vidhibiti vya wizi wa vyandarua vichomwe? Haiwezekani ha hahahahaha...you can't make that up, its so incredible. Destruction of evidence. Sometimes huwa najidhani mimi ndio slow sielewi. Lakini hapana, something is gotta be fishy with this info here, I am telling you, we are a misinformed bunch.

Vyandarua vya Bush, sheria za uvuvi haramu, Waziri kaamua wachome....I'm like whoa whoa whoa...slow your role, will ya'? Say who what?

Mkuu hata mimi hapo wameniacha mbali na hoja na reaction za Magufuri
 
Tatizo ni kutowezeshwa ipasavyo kwa wananchi hivyo kuwafanya watafute namna mbalimbali za kuishi.
 
magufuli piga kazi kaka
mawaziri wenzako wanahangaika kutetea mafisadi
tih tih
 
Ni kwamba Waziri kaamuru vidhibiti vya wizi wa vyandarua vichomwe? Haiwezekani ha hahahahaha...you can't make that up, its so incredible. Destruction of evidence. Sometimes huwa najidhani mimi ndio slow sielewi. Lakini hapana, something is gotta be fishy with this info here, I am telling you, we are a misinformed bunch.

Vyandarua vya Bush, sheria za uvuvi haramu, Waziri kaamua wachome....I'm like whoa whoa whoa...slow your role, will ya'? Say who what?

Hata mimi namuunga mkono Magufuli kwa hatua ya kuzichoma moto hizi nyavu/vyandarua. Its not a matter of distruction of evidence ni kuzuia vyandarua hivi kurudi tena kwa watuhumiwa. Hakuna asiyejua kuwa kwenye jeshi letu la polisi kuwa kuna majambazi pia. Utakuta mtu anakamatwa na lita 100 za gongo, ama gunia 2 za bangi, nenda mahakamani kama watafanikiwa kumpeleka mahakani italetwa ama chupa ya lita 1 ama misokoto 2 ya bangi. Mingine iko wapi? Na ukifuatilia sana utakuta hata polisi nao wanahusika katika uvuvi huu.
Mimi nampa hongera sana Mh. Magufuli mwana mzalendo wa nchi hii.
 
Ni kwamba Waziri kaamuru vidhibiti vya wizi wa vyandarua vichomwe? Haiwezekani ha hahahahaha...you can't make that up, its so incredible. Destruction of evidence. Sometimes huwa najidhani mimi ndio slow sielewi. Lakini hapana, something is gotta be fishy with this info here, I am telling you, we are a misinformed bunch.

Vyandarua vya Bush, sheria za uvuvi haramu, Waziri kaamua wachome....I'm like whoa whoa whoa...slow your role, will ya'? Say who what?

Mkuu kama hujawahi ishi karibu na ziwa tafuta wakati wa kuuliza; Wavuvi kuvulia vyandarua wala si kitu cha kushangaza kwao. Wale jamaa vichwa vyao haviko sawa!
 
Okay.

MwanaHALISI kajuaje vyandarua ni vile vya Bush?

mnataaka kutu reginald mengi; mhh hamnipati
 
Kama waziri aliekunywa maji ya bendera ya chama nahisi huyu alikunywa zaidi
mhe waziri wa uvuvi BW magufuli amekamata watu;polisi;wakuu wa kata;serikali za mitaa pamoja na neti zile zilizotolewa na RAIS JOJI bush wakati alipokuja kwa ajili ya wanaoumwa malaria habari zaidi zinasema waziri amehuzunika sana baada ya kuona hata wakuu wa polisi wa mwanga wanashiriki kwenye uhalifu wa kuwalinda wale wanaovua samaki kinyume cha sheria...katika kuonyesha hili yuko makini jamaa aliomba zote ziliozkamatw ziwashwe moto mbele yake...na hapo ndipo wananchi walipojaa n akushindwa kuamini kinachotokea...
kazi kweli kweli;hongera MAGUFULI;hivi hawa mawaziri wengine HAWAKO KAZINI???

Hayo ni maji ya BENDERA YA TAIFA..........
 
Hata mimi sijaelewa kinachoendelea! Net za mbu zinatumika kuvulia au? Na kwanini zichomwe? Sio wazipeleke zikatumike ipasavyo?

  1. Net zinawezekana zilitolewa kwa njia nya halali tatizo zimetumika kwa njia isiyotakiwa,
  2. Maghufuli kama waziri wa kitoweo amefanya kwa upande wake kwenye uvuvi baada ya hapoi ndio iangaliwe je kupatiukana kwake ilikuwa halai au HARAMU? du zimeishachomwa moto baaasi hakuna kithibitisho hapo.
 
Nafikiri hapa tujiulize wakuwalaumu waliogawa net ama wananchi waliopewa
 
Nafikiri hapa tujiulize wakuwalaumu waliogawa net ama wananchi waliopewa

Walaumiwe wanachi, wamepewa WAVUE mbu wao WAKAVUA samaki. lakini lazima zitakuwepo zilizopatikana kwa UFISADI sijui kama nimelitumia vizuri hili neno. maana liko kwenye FASHION.
 
Back
Top Bottom