Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking News-Mafuriko Mwanza Uwanja wa ndege wafungwa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mathias Byabato, Nov 14, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 861
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Taarifa kutoka Jijini Mwanza ni kuwa Mvua kubwa inaendelea kunyesha na maji yamefunika uwanja wa ndege ,UMEFUNGWA

  Kwa video clip tazama Star TV saa 7:00 mchana dhk 15 kutoka sasa

  Byabato
   
 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duh! Poleni sana Mwanza.
   
 3. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,410
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  jamani jamani,mungu aepushe mbali
   
 4. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,721
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  poleni sana wadau..
  naomba link kama nawezi ipata startv through internet
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,612
  Likes Received: 2,408
  Trophy Points: 280
  daah poleni sana rock city
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wakuu haya siyo mambo ya Mungu hayo mafuriko hapo Mwanza airport si mara ya kwanza wala ya pili hata ya tatu kutokea, infact imekuwa kawaida siku hizi kila mwaka at least mara mbili au tatu kutokee mafuriko, na most of it ni storm water.

  Sasa badala ya kuweka miundo mbinu yenye kudhibiti maafuriko tunaanza kuomba Mungu. C'moon when r gonna be at least serious in Tanzania? Mpaka siku itokee maafa makubwa, tuwe na msiba wa kitaifa shughuli zote zisimame?
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,802
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Idara ya hali ya hewa walishatoa angalizo, so poleni Mwanza..mwanza
   
 8. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,410
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  jaribu huku http://startvtz.com/
  Lakini mbona naona star wanaendelea na mjadala wa mswada wa manunuzi bungeni Dom?
   
 9. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 861
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Punde tu baada ya mjadala huo.
   
 10. tpellah

  tpellah Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii Tanzania kweli hoi
   
 11. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,748
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  duu Poleni watu wa mwanza.
   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 11,170
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ndege ya precision imeshindwa kutua ikarudi Dar!!!
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 12,660
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Chadema haoo!
   
 14. K

  Kamura JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hali ni tete katika uwanja wa ndege Mwanza baada ya uwanja kukumbwa na mafuriko.
   
 15. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 8,656
  Likes Received: 2,754
  Trophy Points: 280
  Nature inafanya kazi,inanikumbusha Thailand.No way hope hali ya kawaida itarudi
   
 16. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 872
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi Ile ndege ya ATC iliyoangukia pua bado imelala hapo Mwanza!
   
 17. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kampuni iliyojenga uwanja huo wa ndege ni ya nani vile? ebu tuhabarisheni
   
 18. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,896
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
 19. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,002
  Trophy Points: 280
  hawakupewaga ESTIM Construction? ...maana naona kazi zote za gov ndio wanazifanya
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mbaya hii.
  Miundombinu ya Mwanza ina tatizo la kudumu la kutuamisha maji, na hii ndiyo iliyopelekea hata ndege ya Atcl ku'skid-off na kuharibika vibaya mwaka jana. Mamlaka husika inatakiwa kuvalia njuga suala hili, hasa kwa kutotanguliza maslahi binafsi kwenye kandarasi za ujenzi wa miundombinu.
   
Loading...