Breaking news: Maandamano ya waalimu arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news: Maandamano ya waalimu arusha.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Feb 1, 2011.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Waalimu ambao wameajiriwa hivi karibuni katika jiji la Arusha wameandamana huku wakiwa na sarafu mikononi wakidai hela za kujikimu ambazo wanasema zimechakachuliwa ili kulipa DOWANS. Sasa ivi wako nje ya ofisi za mkurugenzi wa jiji La Arusha huku wakiwa wamezungukwa na FFU wenye silaha.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu more info please Je wapo kama wangapi?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii ndiyo silaha ya mwisho kwa mnyonywaji!
  Hao polisi wanatafuta nini kwa watu waliobeba shilingi mkononi?..wanataka kuwapora hiyo sarafu?
  aU ndio intelijensia?...aarrrrghh!
   
 4. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 9,055
  Likes Received: 21,275
  Trophy Points: 280
  Wanadai haki yao through peacefully means,hao maaskari wanataka nini na mtutu wa bunduki? kwa staili hii.........
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Tukubaliane jamani na tuache our party affiliations, siyo sirinchi yetu hii bila maandamano hakuna haki!
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Wakati na wao mishahara yao imekatwa pia....sijui huwa wanarogwa pale CCP
   
 7. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi kila kukicha ni maandamano na viongozi wetu wameziba masiko yao nadhani kilichobaki ni maandamano kama ya Misri
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hii serikali inahitaji more of these......wakilipwa hawa, wengine waandamane tena.
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wasisitishe huo mgomo kwani hii nchii kundi flani likigoma hutatuliwa shida zake mara mmoja.Bila mgomo serikali haiwatupii macho kabisa
   
 10. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mwisho wake sasa itafikia hapa TZ hata jeshi nalo litaunga mkono maandamano ya wadai haki, kama kule Misri jeshi limeshindwa kutumia nguvu dhidi ya wananchi kwakua hata wao kuna madai ambayo wanataka serikali iwatimizie mfano mzuri ni kama mpaka sasa hivi jeshi la Polisi TZ wanaishi na raia bila kusahau baadhi yao wanaishi kwenye vibanda vya madebe. Keep it Up Teachers! ALUNTA CONTINUE!!:clap2:
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wANATAKA WATUULIE WATU WETU!!
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huenda intelijensia ya polisi imeonyesha kwamba hizo coin walizoshika mikononi zaweza kugeuka kuwa risasi za moto, so inabidi wajihami ndo maana unaona wako kikazi zaidi.:A S thumbs_down:
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,626
  Likes Received: 419,794
  Trophy Points: 280
  Code:
  [B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Breaking news: Maandamano ya waalimu arusha. [/B]
  
    Waalimu ambao wameajiriwa hivi karibuni katika jiji la Arusha wameandamana huku wakiwa na sarafu mikononi wakidai hela za kujikimu ambazo wanasema zimechakachuliwa ili kulipa DOWANS. Sasa ivi wako nje ya ofisi za mkurugenzi wa jiji La Arusha huku wakiwa wamezungukwa na FFU wenye silaha.
  Hivi hawa FFU wanafikiri wao ndiyo wahimili wa demokrasia pekee yao?
   
 14. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nasema Watanzania tu mazumbukoko.Tunawangalia tu wakiandamana, utafikiri sisi hatuna matatizo,kumbe yametufika kwenye kope.Aibu sana.
   
Loading...