Breaking news live:kijana achomwa moto iringa.

Apr 29, 2012
81
4
Kijana mmoja jina halijapatika ameunguzwa moto na kupigwa vibaya sana eneo la Mwangata B,manispaa ya Iringa.Polisi bado hawajafika eneo la tukio!Watu wanadai kijana huyu atoke nje ili wamchome tena au kuumua kabisa.Sababu bado haijawekwa wazi ya kwanini kijana huyu amefanyiwa hivi,wapo wanaodai kuwa kijana huyo ni jambazi,Polisi wamefika hapa!
 
Dah! hiyo kweli breakingnews live kweli kweli
 
Polisi mmoja amefika eneo la tukio akiwa na tax binafsi kumchukua kijana huyu ambae ameuungua vibaya!kwa sasa wapo njiani kuelekea polisi na punde hospitalini.
 
Back
Top Bottom