habari nilizozipata mdahuu nikuwa Carlos ALberto Pereira kaachia ngazi kuifunza timu ya taifa la Sauzi
Sababu ya kuachia anasema mke wake ni mgonjwa hivyo angependa kuwa nae karibu.
Hatahivyo wachambuzi wa mabo wanahisi kaachia kwasababu haoni kama atapata mafanikio makubwa 2010,hii ni kutokanan na maendeleo ya timu kwa sasa kutofanya vizuri kama alivyotegemewa.
Habari zidi tutzipata kesho