Elections 2010 Breaking News. Hatimaye Mwanasiasa Mkongwe Samuel Ntambara Luangisa Abwagwa Umeya

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Kwa wanaomfahamu samweli luangisa aliyekuwa meya wa Bukoba kwa zaidi ya miaka 20 hatimaye amebwagwa na Bw Anatory Aman katika kinyanganyiro cha kugombea kupitria CCM

Luangisa aliwahi kuwa mkuu wa mkoa baada ya uhuru,mbunge wa Bukoba kwa zaidi ya 20 Ni mwanasiasa wa siku nyingi hivyo kuonmdolewa kwenye nafsasi hiuyoi kwa kupata kura 2 huku mwenzake kura 15 inadhibtisha msemo "hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha".

Hata hivyo luangisa amekataa kusaini kwa madai ya mizengwe .
 
Anatoli Amani! Huyu nadhani aliwahi kuvuliwa uraia wa nchi hii akapachikwa Uganda
 
Kwa wanaomfahamu samweli luangisa aliyekuwa meya wa Bukoba kwa zaidi ya miaka 20 hatimaye amebwagwa na Bw Anatory Aman katika kinyanganyiro cha kugombea kupitria CCM

Luangisa aliwahi kuwa mkuu wa mkoa baada ya uhuru,mbunge wa Bukoba kwa zaidi ya 20 Ni mwanasiasa wa siku nyingi hivyo kuonmdolewa kwenye nafsasi hiuyoi kwa kupata kura 2 huku mwenzake kura 15 inadhibtisha msemo "hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha".

Hata hivyo luangisa amekataa kusaini kwa madai ya mizengwe .

Kwa maelezo yako huyo atakuwa ni kikongwe hata uwezo wa kufikiri utakuwa umepungua sana na wala hawezi kufanya kazi zaidi ya masaa 6 kwa siku.

Apumzike tuu aangalie mifugo yake, shamba na kusuluhisha migogoro midogo kijijini kwake
 
kukuta kusaini kunamaanisha kuwa kachachuliwa? kama ndiyo inamaana uchakachuzi upo ndani ya chaguzi zetu hivyo ccm watakwepa hasira za wadanganyika kweli?by the way mpeni mpole maisha ndivyo yalivyo kunakupanda na kushuka.
 
huyu ndiyo yule mzee aliyekaa jela wiki mbili kwa matatizo ya kodi au mwingine
 
Mathias wacheni mzee wa watu apumzike. Mafisadi wenzie wamemshughulikia. Wacha apumzike kama masha alivyopumzishwa. Hizo ndio Si hasa za Tanzania.

Ningependa kujua unasemaje kuhusu chaguo hilo la madiwani wa ccm Bukoba ni sawa? Una mawazo gani wewe binafsi kuhusu uchaguzi wao huo? au Chaguo la Kagasheki unadhani atakuwa tiba ya shida ya manispaa yenu?
 
Jamani na mwanza jiji nani amekua meya huko?na anatoka chama gani?mwenye data atupatie
 
Kwa wanaomfahamu samweli luangisa aliyekuwa meya wa Bukoba kwa zaidi ya miaka 20 hatimaye amebwagwa na Bw Anatory Aman katika kinyanganyiro cha kugombea kupitria CCM

Luangisa aliwahi kuwa mkuu wa mkoa baada ya uhuru,mbunge wa Bukoba kwa zaidi ya 20 Ni mwanasiasa wa siku nyingi hivyo kuonmdolewa kwenye nafsasi hiuyoi kwa kupata kura 2 huku mwenzake kura 15 inadhibtisha msemo "hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha".

Hata hivyo luangisa amekataa kusaini kwa madai ya mizengwe .

Lakini hao wote si ni CCM........................kuna mabadiliko kweli hapo?

Si ni sawa na mtu anapoamua kubadilisha nguo baada ya kuoa zimechafuka....................
 
Back
Top Bottom