Breaking news: Daladala Mbeya zapandisha nauli, kituo hadi kituo wanatoza sh.1000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news: Daladala Mbeya zapandisha nauli, kituo hadi kituo wanatoza sh.1000

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Aug 11, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  DALA DALA MBEYA
  ZAPADISHA NAULI KITUO HADI KITUO SH 1000
  KISA MAFUTA HAKUNA
  Dala dala za mbeya zimepandisha nauli
  kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi
  kituo sababu ni kukosekana huduma ya
  mafuta katika vituo vyote vya mbeya
  Hiki ni kituo cha mafuta cha BP Mbeya toka
  juzi wanasema hawana mafuta
   
 2. B

  Baba Mkali JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 681
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  Nchi imeuzwa hii. Kila mtu anaamua kufanya anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Bora ningezaliwa Sudan.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mbunge anashughulikia Fiesta akirudi watatafuta suluhisho.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huku Arusha kuna baadhi ya barabara jana jioni ilikuwa 500 badala ya 300....
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  una uhakika? Ruge anafanya kazi gani?
   
 6. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu hili kwa sasa siyo suala la mbunge na jimbo lake ni la taifa!
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Ruge yupo studio anarekodi matusi kwenye mix tape inaitwa anti virus
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Taifa gani, nimetoka gongo lamboto hadi tegeta kwa sh 450.
   
 9. rfjt

  rfjt Senior Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Subiri muda si mrefu utasikia na hapa Dar wamepandisha nauli...
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  SURA YENYEWE SIO YA KUPANDA DALADALA
  UKIPANDA TU ABIRIA WOTE WANASHUKA .....teeeh kwi kwi kwi
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yuko kinondoni hapa na vitoto vya kike
  nadhani THT vingine vinakunywa viroba!
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Jamani treni ya kwenda bara ilikuwa iondoke kesho haitafanya tena safari hiyo kutokana na ukosefu wa mafuta. Pia treni ya kutoka Tabora kwenda Mpanda, ambayo ingefanya safari yake hapo tarehe 13/08 haitakuwepo kwa kukosa mafuta.

  Source: tangazo la TRC redioni
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  mkuu unataka sugu akagawe mafuta?
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  usiviguse hivyo vitoto hata nani akuvulie nguo rafiki unajua ni bora ukafe kifo usichokijua hata ukifika unauliza wapi mbingu wanafikiria kukujibu kuliko unaenda kujimaliza mwenyewe aku
  napita tu
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  una jinga hili!! Yaani magamba mimi nilitoka kwa sababu ya watu kama ninyi pumbavu sana wewe!
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkwele analala tuu hajui hiloo yeye ni safari kama wanga!
   
Loading...