Elections 2010 Breaking News: CCM wanamuandaa KINANA kuwa spika wa bunge

shrodinger

Member
Jan 3, 2009
9
0
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.

Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......

Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?

WATANZANIA TUSIKUBALI......
 
Kinana anafaa kuwa Spika wa Bunge la CCM sio la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
kati ya chenge na kinana

mmoja wao ni spika

sita hana lake, wamemuona kuwa tishio kwa mafisadi anawaandama sana
 
Hapo ndipo mpiga kura wa CCM utakapofaidi matunda ya umbumbu wako wa kuipigia kura CCM. Ufisadi utatamalaki!
 
sioni ubaya wa kinana kuwa spika tofauti ya kinana na SITA na msekwa ni ipi, CCM wanatoa fomu kwani wao ndo wenye haki kisheria kutoa spika basi nasi chadema tupeleke wetu akapigiwe kura na CCM awe spika ajibu hiyo. Mr II au Mdee wawe ma spika au TOZI wetu wa Arusha? mambo hayo
 
Ukifanya kosa la kwanza, unaweza kujikuta unafanya la pili na la tatu mambo yakawa siyo tofauti. Kwa hulka za kibinadamu, mazoea yanaweza kukusukuma kufanya la nne ukadhani matokeo yatakuwa yale yale na yakawa tofauti.
CCM kwenye uchaguzi huu inajua fika wananchi wanafikiri nini. Wamesema wazi wazi na hata katika namna walivyopiga kura zao. Waangalie sana hili suala la uspika. Linaweza kuwagharimu kuliko wanavyofikiri kama watampa mtu ambaye ataendelea kuwaudhi zaidi wananchi kuliko kuwatumikia.
 
wawakilishi wa wananchi (wabungee) watakapomchagua spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania,
kwa kadiri ya sifa zilizopo itakuwa ndio sahihi, kumbukeni kuna nafasi ya mgombea binafsi wana jf mnaweza kwenda!
sio suala la kulalamikia kinana, chenge . . . be intellectual plse, thanks
 
du mwana hichi chama cha kupindua ni noma wanachakachuana mpaka wenyewe kwa wenyewe!!!
 
Kinana alikuwa spika wa bunge la East Africa kwahiyo huenda ni kweli akapendekezwa na CCM kugombea uspika.
 
Nilijua hivi wapinzani walivyojaa bungeni vile Mh. 6 hawezi kurudi, maana ndani ya CCM anaonekana naye ni Chadema. Tulimwambia Mh. 6 usichukue fomu akataa. Lakini tunafanya mpango ili Mh. 6 aingie kwenye kupigiwa kura na kura zote za wapinzani atazipata.
 
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.

Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......

Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?

WATANZANIA TUSIKUBALI......

possible....kwani si tumewarudisha kwa kishindo?
 
Hapo ndipo mpiga kura wa CCM utakapofaidi matunda ya umbumbu wako wa kuipigia kura CCM. Ufisadi utatamalaki!

Tunaomba go ahead tuwe barabarani japo kwa masaa tu tuwaonyeshe nguvu ya umma. Lakini pia nani alifadhili hao wabunge wa CCM katika kampeni zao. Chenge, Rostam au Lowasa. TAfakari
 
Nilijua hivi wapinzani walivyojaa bungeni vile Mh. 6 hawezi kurudi, maana ndani ya CCM anaonekana naye ni Chadema. Tulimwambia Mh. 6 usichukue fomu akataa. Lakini tunafanya mpango ili Mh. 6 aingie kwenye kupigiwa kura na kura zote za wapinzani atazipata.

Hakuna adui mbaya kama adui ambaye wewe unafikiri ni rafiki yako....
Sita ni mtu wa namna hii, alijipambanua tu na wapinga ufisadi pale alipoona upepo wa kunufaika ni kwa kufanya hivyo (opportunist) same as wenzake wengi. Lakini deep down hana tofauti na mafisadi wengine.

Kumbuka alivyoua mjadala wa Richmond na mingine mingi pale alipoona keshafaidika nayo....

Afadhali kabisa ungesema Mwakyembe lakini sio Sita.... hafai kabisa, mnafiki na mafisadi wenzie wameliona hili watampinga kwa nguvu kubwa!!
 
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.

Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......

Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?

WATANZANIA TUSIKUBALI......

Bunge hili ni la CCM wao ndio wana majority , na wako zaidi ya 2/3, kwa hiyo wao ndio watakao pitisha miswada pindi watakapo taka ipite hata km wapinzani hawata taka kwani ni wachache hawawezi kukwamisha kitu chochote. Walaumuni wananchi walio wachagua kwa uchache.
 
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.

Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......

Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?

WATANZANIA TUSIKUBALI......

Umaarufu kivipi cos unaweza kuwa maarufu for the wrong reasons.
 
Ukifanya kosa la kwanza, unaweza kujikuta unafanya la pili na la tatu mambo yakawa siyo tofauti. Kwa hulka za kibinadamu, mazoea yanaweza kukusukuma kufanya la nne ukadhani matokeo yatakuwa yale yale na yakawa tofauti.
CCM kwenye uchaguzi huu inajua fika wananchi wanafikiri nini. Wamesema wazi wazi na hata katika namna walivyopiga kura zao. Waangalie sana hili suala la uspika. Linaweza kuwagharimu kuliko wanavyofikiri kama watampa mtu ambaye ataendelea kuwaudhi zaidi wananchi kuliko kuwatumikia.

Hilo ni sikio la kufa halisikii dawa.
 
Kasi ya bunge linalokuja hakuna spika atakayeweza kulizuia, kila juhudi ya kutaka kulinyamazisha itaonekana live kwenye TV na kusikika redioni.

Natabiri kisayansi kuwa CCM inaenda kupasuka kiasi ambacho hatujawahi kushuhudia since records begun.
 
Back
Top Bottom