Breaking news : bus la simiyu express lapinduka na kuuwa wawili papo hapo.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
kuna ajali imetokea muda huu bus la simiyu express likitoka simiyu kuja dar limepinduka na kujeruhi watu 14 na kuuwa 2.
 
kama kawaida ngozi nyeusi.
bila kutoa kafara wenzake hawez kufanikiwa. kweli mungu ametuumba na akili ndogo waafrika.
huu c ndo mwisho wa mwaka?
ntatumia gogo kwa kusafiri mpaka mwez wa 3 mwakani.
 
kuna ajali imetokea muda huu bus la simiyu express likitoka simiyu kuja dar limepinduka na kujeruhi watu 14 na kuuwa 2.

Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema usitupite Bwana wa Majeshi MUNGU wa miungu yote.
Tusamehe makosa yetu Bwana kwani sisi ni wakosefu kila leo!

Mwenyenzi MUNGU awapumzishe wote wale walikufa na majeruhia awape kupona mapema kwa uweza wake BWANA wetu anayeishi na hata sasa!
 
Basi linaitwa Fastjet utategemea nini? Nilishawahi kuripoti hapa kwamba haya mabasi ya Simiyu yetu yanakimbia sana....no one cares
 
Khaaaa...kama ndo hivi basi mama jr wangu siji dar wakati wa xmass.
 
Leo vipi tena, maana kwa mida hii ni kawaida kuwepo Bwawani, mdaula au chalinze kabsa!
 
Basi linaitwa Fastjet utategemea nini? Nilishawahi kuripoti hapa kwamba haya mabasi ya Simiyu yetu yanakimbia sana....no one cares
Mbona hueleweki? Baada ya kureport polisi wewe ukaja huku? Unaona sasa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom