Breaking News-Bus la Allys Bukoba-Dar limeungua

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Hivi sasa bus la allys linaungua lilikuwa likitoka bukoba kwenda dar,limeungua lilip[ofika wilaya ya Muleba mkoani KAGERA.

Taarifa za awali ni kuwa hakuna aliyekufa ingawa kuna majeruhi kadhaa.

chanzo bado hatujajua

nitawajulisha baadaye

Byabato
 
Pole zao abiria na mwenye mali, natumaini lilikuwa na vifaa vya kuzimia moto.
 
poleni sana abiria mliopatwa na mkasa huu....kunyweni maji sana ya baridi kupunguza effect za moto huo
 
Poleni sana ndg na wasafiri wote kwa usumbufu huo ....Hii x mass mabalaa huwa mengi hasa ya ajali madereva tuweni makini sana ili tuokoe roho za watu
 
Back
Top Bottom