Breaking news:bei ya msosi kupanda udsm..

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Wadau,kuna taarfa kwamba bei ya msosi itapanda kuanzia muda wowote tangu sasa toka 800tsh-1200tsh..mnalionaje hlo swala?
 
bado sijaona bei ya RB itaongezeka vp.na chips, umetoa bei ya walinyama au pilau maarage..pamoja na hayo hali hii haikubaliki Killaya awe makini sana.
 
hyo ni bei ya wali maharage mkuu,ila bei ya misosi ya anasa bado cjaipata!!
 
MILO MIWILI 1200x2=2400/=, chapati au andazi mlimani ni ya 150-200 and above ukiwa mbishi chapati mbili (2) na chai 200x2=400 na chai kikombe kimoja 100-150 chua hiyo least price ya 100/= kwa hiyo breakfast ni 500/= ukisema ule matunda mchana ni ya 300-500/= ndio yanaweza yakatosha. maji ni lazima kwa mji wa dar es salaam labda uwe ngamia unahifadhi maji nayo ni kati ya 500-700/= wanakupa stationary lakini mbili 200,000/= lectucturer kila baada ya lecture anakupa handout yenye least page 5-10 photocopy ni 50-100@10 1000/= kwa ajili ya stationary laki mbili itakutosha kwenye siku mia moja na ishirini za semester 120.?
sasa kwa mchanganuo wangu wa huo tukitafuta jumla ambayo mwanafunzi anatumia kwa siku kwa kujibana tujumlishe
2400+500+1000+1000+500=6400 @ huyu ni wa kampusi
wa mabibo plus nauli 250-300/= @ 250X2=500
6400+500=6900/=
ACCOMADATION MPAKA NAONDOKA ILIKUWA 250@ MABIBO 500@KAMPUSI
JUMLA MABIBO NI 7150/= KAMPUSI 6900/= MIND YOU NI ASSUME KWAMBA UTAKULA CHAKULA CHA NAMNA MOJA KWA SEMESTER NZIMA KA MAVILE UKO BOARD AMBAPO NAPO HUWAGA WANABALISHA MENU
MAHESABU HAYA NI YAFANYA KWA HIYO BEI MPYA WITH ALOT OF ASSUMPTION ILI 7500/= ITOSHE LAKINI HALISIA 7500/= HAITOSHI KWA LUGHA NYEPESI USITEGEMEE KUNUNUA CHOCHOTE KUTEGEMEA BUMU LABDA UTUMUE MAFORMULA YA BINARY 1-0-1,0-0-1 AKA PASI LAMPARD AKA PASI NDEFU YAANI UNAJINYIMA BAADHI YA MILO ILI USAVE. BAD ENOUGH MAJORITY YA WANAFUNZI WENGI HAKO KABUMU NDIO ANAMALIZIA ILE PERCENT YAKE YA TUTION FEES.
HAO WATU WAMACAFETERIA WANAPATA FAIDA SANA KWA MAANA WANA UHAKIKA WA KUUZA CHAKULA CHAO CHOTE MPAKA MWISHO WA SEMESTER BILA KUDORORA KWANZA HAWANA WAPINZANI KAMA MABIBO..
 
Aisee umenikumbusha miak ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni na hiyo bajeti. Kama vp nenda kalipie kwa wale mama lishe hela ya semester yote inayobaki uwe unajirusha huku ukiwa na uhakika wa mlo mkuu, mengine yatajiseti yenyewe!
 
aisee umenikumbusha miak ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni na hiyo bajeti. Kama vp nenda kalipie kwa wale mama lishe hela ya semester yote inayobaki uwe unajirusha huku ukiwa na uhakika wa mlo mkuu, mengine yatajiseti yenyewe!
mkuu maisha ya bili nayo yako limited .
Kwa kweli wasomi wakitanzania tunasoma kwenye mazingira magumu sana yaani unakuta unafikiria test huku tumboni hamna kitu . I wish viongozi wetu wangekuwa wanaelewa maisha yamekuwa ni magumu natunasoma hili tuje kuokoa hili taifa jamani. Nashukuru mungu nimemaliza salama na nimepata pakujishikiza maana unapata hayo mateso halafu unakuja kitaa tena kuchapika mweeeeeeeh.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom