GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,068
- 107,559
Kwa mujibu wa Msemaji wao na namnukuu hapa chini.
" Tulikubaliana kabisa na Simba SC katika Pre Match Meeting kuwa tunawaomba Mechi yetu wasiwacheze kabisa akina Shiboub, Chama na Kahata kwakuwa tulikuwa tukijua kuwa hakuna Mchezaji pale Azam FC wa Kuwakaba kwani wana Uwezo mkubwa na Vipaji vya Kucheza Ulaya na siyo Tanzania ila tulishtuka baadae kuona Simba SC wamewaanzisha. Tulipowaona tu wapo wana Azam wote tulitota kabisa na kujua kuwa kuna dhahama Kubwa mbele yetu na kweli ilitokea. Hata hivyo Kitu pekee ambacho Sisi wana Azam FC tunajivunia ni kwamba angalau tumejipapatua na Kufungwa zile Goli 4 ila kuna Timu Moja sitaki Kuitaja Jina hapa kama sisi jana tumekumbana na dhahama kwa Simba SC basi yenyewe kwa aina ya hiki Kikosi Kabambe cha Simba SC wao wategemee Gharika kabisa na kama Msemaji wa Azam FC natabiri mapema kuwa Simba SC atakuwa Bingwa tena wa Ligi ila hiyo Timu fulani nawashauri tu wawaombe TFF Mechi yao na Simba SC wasicheze na Simba SC wapewe tu Alama zao 6 kwani kwa jinsi walivyo Wabovu huku Wakiwa na Mchezaji wao Mmoja Miss Bantu Madam Molinga watafungwa Goli 7 kwa mechi zao zote mbili watakazocheza. Simba SC ya sasa haikamatiki lazima tuseme ukweli na tusifiche "
Asante sana Msemaji wa Azam FC kwa huu ukweli wako ambao tunaamini kuwa hata Mwenzako Dismas Ten anao Kimoyomoyo.
Shikamoo Simba SC.