Breaking News: Azam FC mbioni Kukataa Rufaa TFF baada ya Kufungwa Goli 4 jana kwa sababu zao hizi zifuatazo.....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Kwa mujibu wa Msemaji wao na namnukuu hapa chini.

" Tulikubaliana kabisa na Simba SC katika Pre Match Meeting kuwa tunawaomba Mechi yetu wasiwacheze kabisa akina Shiboub, Chama na Kahata kwakuwa tulikuwa tukijua kuwa hakuna Mchezaji pale Azam FC wa Kuwakaba kwani wana Uwezo mkubwa na Vipaji vya Kucheza Ulaya na siyo Tanzania ila tulishtuka baadae kuona Simba SC wamewaanzisha. Tulipowaona tu wapo wana Azam wote tulitota kabisa na kujua kuwa kuna dhahama Kubwa mbele yetu na kweli ilitokea. Hata hivyo Kitu pekee ambacho Sisi wana Azam FC tunajivunia ni kwamba angalau tumejipapatua na Kufungwa zile Goli 4 ila kuna Timu Moja sitaki Kuitaja Jina hapa kama sisi jana tumekumbana na dhahama kwa Simba SC basi yenyewe kwa aina ya hiki Kikosi Kabambe cha Simba SC wao wategemee Gharika kabisa na kama Msemaji wa Azam FC natabiri mapema kuwa Simba SC atakuwa Bingwa tena wa Ligi ila hiyo Timu fulani nawashauri tu wawaombe TFF Mechi yao na Simba SC wasicheze na Simba SC wapewe tu Alama zao 6 kwani kwa jinsi walivyo Wabovu huku Wakiwa na Mchezaji wao Mmoja Miss Bantu Madam Molinga watafungwa Goli 7 kwa mechi zao zote mbili watakazocheza. Simba SC ya sasa haikamatiki lazima tuseme ukweli na tusifiche "

Asante sana Msemaji wa Azam FC kwa huu ukweli wako ambao tunaamini kuwa hata Mwenzako Dismas Ten anao Kimoyomoyo.

Shikamoo Simba SC.
 

Jua usiyoyajua

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
1,139
2,000
Mjinga ukimuelimisha na akaelimika huwa mwelevu, lakini upumbavu ni kipaji cha kuzaliwa nacho hivyo basi hubaki kuwa tabia ya mpumbavu kwa maisha yake yote. Amina.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Mjinga ukimuelimisha na akaelimika huwa mwelevu, lakini upumbavu ni kipaji cha kuzaliwa nacho hivyo basi hubaki kuwa tabia ya mpumbavu kwa maisha yake yote. Amina.
Unajua hili ni Jukwaa gani lakini Kiongozi? au Bange unazovuta na Wendawazimu wenzio Kocha wako Zahera na Yule Fowadi wenu Miss Bantu Mahips Molinga zinakutesa kama siyo Kukupelekesha hivi? Pole sana ila kwa Simba SC hii ombeni Mungu January 2020 isikaribie kwani kuna Gharika Kubwa linaenda Kutua pale Bwawani Kwenu.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Tutapima kiwango cha akili za watu kwa jinsi watakavyosapoti huu upuuzi ulioweka hapa.
Wale wa Simba SC ambao ndiyo Werevu najua watanisapoti ila wale Wehu wenzako / wenzenu Team Zahera Molinga najua mtauchukia huu Uzi na hata sasa mnaumia sana tu. Vipi Mkuu umemuona lakini Shiboub ambaye ameshapachikwa Jina la Jasusi Transmitter? Yaani kwa Timu ile ya Jana Mastaa Kibao walikaa Benchi Kaka yako Azam kala 4 Wewe na Timu yako Shida Kuliko FC ( Yanga SC ) si mtazikoga hata 7 au 9 hapo January 2020?
 

juma mpemba

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,968
2,000
ni kweli mi kama msemaji wa TFF,tumepokea hiyo barua,,lakini hao wachezaji tunawaundia sheria yao peke yao,kua wanapokua uwanjani wanatakiwa watembee kwa kutumia mguu mmoja tu...na tunawapa tahadhari manjano fc na yule mchezaji wao tegemezi sanchoka molinga wataoga magoli mengi,,,,hivo sisi kama chama cha michezo tunawaruhusu yanga ikifika ratiba ya kucheza na simba waende kwenye shughuli za kuchambana uko uswahilini wakiwa na madera yao ya njano bila kusahau vikuku miguuni,,huku miss molinga akiongoza kosi la kuchamba,asanteni.!
 
Top Bottom