Elections 2010 Breaking news: Amiri nondo meya manispaa ya morogoro

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
habari niliyoipata kutoka manispaa ya morogoro ni kwamba katika uchaguzi uliofanyika masaa mawili yaliyopita ya umeya, Mh. Amiri Juma Nondo ndio amekuwa meya mpya wa Manispaa hiyo akiwabwaga wenzake watatu. Manispaa hiyo ina madiwani wooooooote wa CCM.
 
sasa hiyo ndio habari ya kutuletea hapa JF? mi nilidhani kuna uchaguzi baina ya vyama fulanifulani
 
Nondo ni trasporter manager wa Abood,ambaye ni Mbunge apo start conecting the dot.
 
nashangaa ilhali wote ni ccm. ingekuwa nondo ni chama kingine kweli ingekuwa breaking news

Damn hivi unajua maana ya breaking news? Au kwa sababu habari hii haina mvuto/hamasa kwako? Mbona kura za maoni za kuchagua wagombea ubunge kupitia CCM zilikuwa breaking news!!! Iweje leo uchaguzi wa meya ulioshirikisha wagombea zaidi ya mmoja matokeo yake yasiwe 'habari'?
 
habari niliyoipata kutoka manispaa ya morogoro ni kwamba katika uchaguzi uliofanyika masaa mawili yaliyopita ya umeya, Mh. Amiri Juma Nondo ndio amekuwa meya mpya wa Manispaa hiyo akiwabwaga wenzake watatu. Manispaa hiyo ina madiwani wooooooote wa CCM.

cha ajabu hapo nini?
 
Nondo ni trasporter manager wa Abood,ambaye ni Mbunge apo start conecting the dot.

huyu bwana nasikia hamna kitu ni msanii tu. huwa anajivuna sana na si mtendaji
tatizo la morogoro ni majungu yaliyopitiliza na kubaguana kwa sana na Mbunge wao wa sasa ndiyo kinara wa majungu (waliofanya kazi Abood Bus watakueleza hivyo)
 
Waletetee breaking news nyingine hiyo wamechomoa, wabishi kama nyama ya punda
 
...breaking news ni ya ushindi wa CDM candidate tu? mimi na CDM damudamu-fuatilia comments au threads zangu.
 
Back
Top Bottom