Breaking news: Amiri nondo meya manispaa ya morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news: Amiri nondo meya manispaa ya morogoro

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by tanga kwetu, Dec 15, 2010.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,830
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  habari niliyoipata kutoka manispaa ya morogoro ni kwamba katika uchaguzi uliofanyika masaa mawili yaliyopita ya umeya, Mh. Amiri Juma Nondo ndio amekuwa meya mpya wa Manispaa hiyo akiwabwaga wenzake watatu. Manispaa hiyo ina madiwani wooooooote wa CCM.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,291
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  What is interesting? Si ilikuwa lazima meya apatikane?
   
 3. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,338
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  this is never a breaking news!!
   
 4. d

  damn JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nashangaa ilhali wote ni ccm. ingekuwa nondo ni chama kingine kweli ingekuwa breaking news
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,168
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  sasa hiyo ndio habari ya kutuletea hapa JF? mi nilidhani kuna uchaguzi baina ya vyama fulanifulani
   
 6. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,815
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Habari yako inaharibu maana ya Breaking news...
   
 7. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 4,929
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Jamani alikuwa anatoa Breaking Newz kwa wana CCM UNITED FRONT wenzake.
   
 8. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,800
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Nondo ni trasporter manager wa Abood,ambaye ni Mbunge apo start conecting the dot.
   
 9. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Damn hivi unajua maana ya breaking news? Au kwa sababu habari hii haina mvuto/hamasa kwako? Mbona kura za maoni za kuchagua wagombea ubunge kupitia CCM zilikuwa breaking news!!! Iweje leo uchaguzi wa meya ulioshirikisha wagombea zaidi ya mmoja matokeo yake yasiwe 'habari'?
   
 10. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwani breaking news in maana gani kwako?
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,336
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  cha ajabu hapo nini?
   
 12. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  huyu bwana nasikia hamna kitu ni msanii tu. huwa anajivuna sana na si mtendaji
  tatizo la morogoro ni majungu yaliyopitiliza na kubaguana kwa sana na Mbunge wao wa sasa ndiyo kinara wa majungu (waliofanya kazi Abood Bus watakueleza hivyo)
   
 13. k

  kanziani Member

  #13
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo siyo Breaking news hiyo ni ujinga
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Waletetee breaking news nyingine hiyo wamechomoa, wabishi kama nyama ya punda
   
 15. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,830
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  ...breaking news ni ya ushindi wa CDM candidate tu? mimi na CDM damudamu-fuatilia comments au threads zangu.
   
Loading...