Breaking news:ajali mbaya mto ruvu maiti 5 zipo chini wengi waumia

Status
Not open for further replies.
Maisha ya mtz hayana thamani, sio kwake mwenyewe tu bali hata wa watx wenzie. Aisee! Mungu atunusuru tu manake wewe unaendesha kibaby walker chako kwa uangalifu mwehu anatoka huko kuja kukugonga! Dah!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kuna jamaa yangu nae ndo ametoka kuniambia hizi habari, wametoka Dar toka jana saa 3 usiku wamefika Moro mida hii, ajali ilikuwa imefunga kabisa Morogoro road.
 
Hahahaaa....you will never be able to figure out. I'm pretty elusive.

Ngoja nikupe hint ingine. Ngabu Sr. taught Campanero Sr. at the Hill....

faili limeshakamilika, hiyo uliyoongezea nimeiweka kwenye kiambatanisho
 
nchi inahitaji 'fagio la chuma'!

ps. ulisoma na kitunga srsc?

Yeah...why you ask?

was finalizing lile file la ngabu sr & jr

Hahahaaa....you will never be able to figure out. I'm pretty elusive.

Ngoja nikupe hint ingine. Ngabu Sr. taught Campanero Sr. at the Hill....

faili limeshakamilika, hiyo uliyoongezea nimeiweka kwenye kiambatanisho

........wee Ngabu jr unacheza na msomi kutoka Uingereza?............lol

Poleni sana mliofiwa na poleni sana walioumia kwenye ajali............
 
Mkuu habari zilizokufikia that means exclusive,then at the end unasema source clouds fm,next time usichanganye maneno!!
 
yaani hawakawii kusema ajali hizi zinakuwa engeneered na CHADEMA...
 
Habari zilizotufikia hivi punde ajali kubwa imetokea huko mto ruvu ambapo gari aina ya macppolo imegongana na fuso ambapo maiti zaidi ya tano zimeanza kutolewa kutoka kwenye basi huku wengi wakitolewa wameumia vibaya kwa habari zaidi stay tuned
src
cloudsssssssssssssssssssssssssssssssssssss ffmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm the plp statioooooooonnnnnnnnnnnnn

Na madaktar wamegoma, pinda alisema kesha jipanga. tunasubiri tuone...
 
Mmmmh kwan hapa serikali ngazi ipi unayoilaumu weye?

JAmani napata tabu sana Mimi na watanzania sisi?

Hivi kila kitu niserikali na CCM nisaidieni kujua hii ni syndrome gani tunayougua mwisho wake tutataka serikali itutilie mimba wake zetu.

Hivi mko ndani ya basi driver anakwenda mnataka serikali ije iwasimamie driver apunguze mwendo?

Unajua huu ni ugonjwa na ndio maana watu wengi tumekua walalamishi tu na huu upumbavu wa Siasa za kibongo wanaotuaminisha kua Wanasiasa watafanya jambo katika maisha yetu ndio yanatufanya mataahira kabisa...

Badilikeni hebu tuache ujinga huu....

Tunahitaji ukombozi wa kifikra....

Mfano!!!!!

Una nyumba ya tembe au udongo , upande mmoja umeanguka na Mtu akipita anaona ndani! Badala ya kufinyanga udongo kwa Maji ukarudishia badala yake unaweka mifuko ya saflat au ya cement ! Wakati udongo hauuzwi ni suala la kuchimba na kukandika kurudishia ukuta...

Sasa huu ni umasikini wa fikra tuliokua nao sisi watanzania kuna mambo tunaona suluhisho lake ni kulaumu serikali badala ya kuchukua hatua ambazo ni Sahihi labda ni ignorance!

Huu ni ujin...

Tubadilike kila kitu serikali na Mkeo nae utataka serikali ikulishie siku moja.
 
ni serikali ya ccm kwakuwa wameshindwa kupanua hiyo barabara. haiwezekani barabara inayounganisha karibu mikoa yote iwe na upana mwembemba vile, ilitakiwa kila upande njia mbili
 
Habari zilizotufikia hivi punde ajali kubwa imetokea huko mto ruvu ambapo gari aina ya macppolo imegongana na fuso ambapo maiti zaidi ya tano zimeanza kutolewa kutoka kwenye basi huku wengi wakitolewa wameumia vibaya kwa habari zaidi stay tuned
src
cloudsssssssssssssssssssssssssssssssssssss ffmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm the plp statioooooooonnnnnnnnnnnnn

Poleni sana wafiwa na Mungu awape nguvu katika wakati huu mgumu.

Ndugu mtoaji wa taarifa hii mbona hujatueleza ni basi la kampuni ipi hilo!!!!!!!!

Tuweke wazi tafadhari.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
JAmani napata tabu sana Mimi na watanzania sisi?

Hivi kila kitu niserikali na CCM nisaidieni kujua hii ni syndrome gani tunayougua mwisho wake tutataka serikali itutilie mimba wake zetu.
........................................................
............................................................
Badilikeni hebu tuache ujinga huu....

Tunahitaji ukombozi wa kifikra....

Huu ni ujin...

Tubadilike kila kitu serikali na Mkeo nae utataka serikali ikulishie siku moja.

Snitch lazima utakuwa mwalimu. Umeniachaje hoi!
 
JAmani napata tabu sana Mimi na watanzania sisi?

Hivi kila kitu niserikali na CCM nisaidieni kujua hii ni syndrome gani tunayougua mwisho wake tutataka serikali itutilie mimba wake zetu.

Hivi mko ndani ya basi driver anakwenda mnataka serikali ije iwasimamie driver apunguze mwendo?

Unajua huu ni ugonjwa na ndio maana watu wengi tumekua walalamishi tu na huu upumbavu wa Siasa za kibongo wanaotuaminisha kua Wanasiasa watafanya jambo katika maisha yetu ndio yanatufanya mataahira kabisa...

Badilikeni hebu tuache ujinga huu....

Tunahitaji ukombozi wa kifikra....

Mfano!!!!!

Una nyumba ya tembe au udongo , upande mmoja umeanguka na Mtu akipita anaona ndani! Badala ya kufinyanga udongo kwa Maji ukarudishia badala yake unaweka mifuko ya saflat au ya cement ! Wakati udongo hauuzwi ni suala la kuchimba na kukandika kurudishia ukuta...

Sasa huu ni umasikini wa fikra tuliokua nao sisi watanzania kuna mambo tunaona suluhisho lake ni kulaumu serikali badala ya kuchukua hatua ambazo ni Sahihi labda ni ignorance!

Huu ni ujin...

Tubadilike kila kitu serikali na Mkeo nae utataka serikali ikulishie siku moja.

Serekali ndio inatakiwa Kulaumiwa kwani Malori Yasiyokuwa na Break au mengine Hayana hata Taa si Yanaruhusiwa kuwa barabarani na serekali hiyohiyo? Sasa Iweje Waogope Kupata Lawama? Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani Yupo; Magari Mabovu yapo yanatembea!! Sasa Nani alaumiwe? Namwomba ndugu Mpinga akakae pale kimara jioni ajionee Jinsi Malori Yaliyo na taa Moja kama pikipiki na yako Tayari na mizigo kuelekea Mikoani!! Hizi sio Ajali za Waziwazi!! sasa kwa nini mnaogopa lawama?
 
Hivi zile leseni mpya za udereva wa magari purpose yake hasa ni nini?

Ndugu zangu tutalaumu drivers bure sidhani kwamba wana lengo la kuu watu hovyo.Tukubali tusikubali viongozi wetu wameingia mikataba na shetani kila kukicha wanatoa KAFARA na hasa wanapotaka kuhutubia umma lazima ajali zitokokee kabla.Chunguzeni mtabaini, tunahitaji viongozi wacha mungu .Hata rais SATA wa zambia kasema alipoingia madarakani kuwa ma-rais wa afrika wengi ni washirikina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom