Breaking news:ajali mbaya mto ruvu maiti 5 zipo chini wengi waumia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news:ajali mbaya mto ruvu maiti 5 zipo chini wengi waumia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 8, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Habari zilizotufikia hivi punde ajali kubwa imetokea huko mto ruvu ambapo gari aina ya macppolo imegongana na fuso ambapo maiti zaidi ya tano zimeanza kutolewa kutoka kwenye basi huku wengi wakitolewa wameumia vibaya kwa habari zaidi stay tuned
  src
  cloudsssssssssssssssssssssssssssssssssssss ffmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm the plp statioooooooonnnnnnnnnnnnn
   
 2. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Jamani, hizi ajali kila kukicha ajali! Inasikitisha sana. Serikali yetu inabidi ijipange ktk hili ili kunusuru maisha ya watanzania.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ajali ajali ajali kila kukicha ajali serikali imekaa kimya, r.i.p marehemu wote na poleni sana majeruhi wote
   
 4. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Leo mchana kule kitunda njia ya banana kwenda machimbo kuna ajali mbaya imetokea ambapo watu wawili wamechinjwa kama mbwa pale lori la maji ya dolphin lilipokuwa kasi wakati likigeuka likagonga mti na kuishia kuzunguka mara tatu ilipotulia pale mbele kwenye derva kulikuwa chapati ambapo mmoja wa aliekuw apemben ya dereva alitupwa anje na ilipogeuka mara ya pili ikamlalia ee molahaaa
  mungu amlaze pema peponi marehemu lakini si dereva yule aliekuwa akindesha kama kapakia mbwa ndani ya gari
   
 5. fourtypercent

  fourtypercent Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mbaya zaidi madaktari wako kwenye mgomo tuwaombee majeruhi muujiza wa MUNGU utendeke maana hakuna tumaini hospital:hatari:
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhhh RIP mliofarika leo hii kwa ajali..
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  RIP marehemu na kila la kheri majeruhi wote...so sad kwa kweli...!
   
 8. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Walah hii serikali na watu wake kwa sasa hawapo chini ya uangalizi wa Muumba. Huenda tumaini lao limeegeshwa kwa washirikina. Kutakuwa kuna maagano yamefanywa kuzimu. Tanzania nchi yangu kweli nakupenda lakini kuzimu inaonekana kukupenda zaidi. Viongozi wetu wameshindwa kudhibiti na kuleta hali ya utuamo; Tufanye je? Kibaya zaidi katika hali hii ya kupagawa kukuu wameruhusu piki piki kuwa vyombo vya kubebea abaria. Wananchi bila uelewa wowote wanazipanda hizi piki piki na zinawauwa na kuwapa vilema kila kukicha. Hospitalii zote za rufaa wametenga wodi maalumu kwa majeruhi wa piki piki. Serikali yetu inafanya kazi kama zimamoto na nguvu yao ni ya soda. Walikuja na mikakati ya kuhakikisha mikanda ndani ya basi sasa hivi chunguza mabasi hayafikii nusu yenye mikanda inayofanya kazi, mara speed gavana lakini ni busi gani linayo sasa? Hawa abaria wa piki piki hawapewi helmet na trafic wanaliona hilo na wameliacha kuwa kanuni. Ni nchi ya aina gani hii? Ama kweli hujafa hujaumbika.
  .
   
 9. C

  Chamwau Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  masikitiko makubwa,kibaya zaidi madaktari hawapo kazini majeruhi watatibiwa na nani eeh mungu
   
 10. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmh kwan hapa serikali ngazi ipi unayoilaumu weye?
   
 11. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Angel, Natamani hayo maneno mekundu yansingekuwepo kwenye post yako nzuri!

  Wadau nadhani wote tunashudia jinsi ajali hizi zinavyoongeka hasa wakati huu ambapo tupo katika sintofahamu hii ambayo pia inayoinyima usingizi hasa SIRI-KALI yetu. Najaribu kumsaidia Angel ajiuluze swali sahihi kama hili:

  AJALI ZA NAMNA HII KATIKA NCHI HII HADI LINI?

  Katika majibu mengi kwa swali hili please lisikosekane hili: Hadi hapo watanzania tutakapobahatisha kumweka kiongozi wa juu ambaye ANAMCHA NA KUMUOGOPA MUNGU KWELI!
  Samahani wadau: Anayejua vyakutosha kuhusu "Free Masonry" tafadhali anijuze!
   
 12. wejja

  wejja Senior Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimepata taarifa kuwa zaidi ya watu 30 inasemekana wamepoteza maisha ktk ajali hiyo
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Nyingi ya hizi ajali zinasababishwa na reckless driving. Madereva na hata baadhi ya abiria wana uthamini mdogo sana wa maisha yao pamoja na ya wengine.

  Laiti madereva wangekuwa na uthamini mkubwa wa maisha ya binadamu, hizi ajali zingekuwa ni chache sana.
   
 14. Companero

  Companero Platinum Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  uthamini wa maisha utoke wapi? (rej: sakata la serikali na madaktari - UDADISI: Rethinking in Action: taifa limegawanyika kuhusu mgomo wa madaktari?)
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
 16. Companero

  Companero Platinum Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  nchi inahitaji 'fagio la chuma'!

  ps. ulisoma na kitunga srsc?
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Yeah...why you ask?
   
 18. Companero

  Companero Platinum Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  was finalizing lile file la ngabu sr & jr
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa....you will never be able to figure out. I'm pretty elusive.

  Ngoja nikupe hint ingine. Ngabu Sr. taught Campanero Sr. at the Hill....
   
 20. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zaidi tunaomba kwa mwenye taarifa zaidi kuhusu hili.
  Je majeruhi wangapi? na kuna vifo vilivyoongezeka? msaada wowote umewafikia?
  asanteni.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...