Breaking Money: Kiva Loans up to $500,000.00 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking Money: Kiva Loans up to $500,000.00

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Miradi, Aug 30, 2012.

 1. M

  Miradi Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 2. M

  Miradi Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kupata pesa nzuri ni utafutaji inawezekana umetafuta sana ila hujafanikiwa kupata. Fungua hiyo link upate kujisajili kisha uone mikopo ilivyo dezo.
   
 3. M

  Miradi Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  money for cheap
   
 4. M

  Miradi Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongereni wale mliokopa naona mambo yanakwenda vizuri.
   
 5. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  hata sijaelewa kitu
   
 6. M

  Miradi Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Go and register utaelewa tu mkuu
   
 7. chash

  chash JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45

  KIVA wanakopesha hela kupitia microfinance institutions Kama vile Jitegemee, selfina, brac nk. Hawatoi mikopo direct. KIVA wao hutafuta watu wanaotaka kutoa misaada na kuwaunganisha kwa wanao hitaji hiyo misaada kupitia local finance institutions. Uki register kwenye web ya KIVA kama mkuu Miradi anavyosema utakuwa wewe ni mkopeshaji sio mkopaji. Utatakiwa sasa kutuma hela kwa kiva ili wakopeshe microfinance institutions nazo zikopesha watu. Sasa huyu Miradi ndiye yule yule aliye leta mada nyingine ya GUN uinvest ambao pia wanataka investors ila yeye ameelewa kwamba wanatoa mikopo, ila alisema hiyo department ya GUN inayo kopesha ipo ndani ya UINVEST. kwa hiyo hatuwezi kujua ukweli zaidi.
  Wadau wa JF hebu angalieni hiyo link hapo juu tujadiliane kama Miradi ana tuchanganya au yupo sahihi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...