Breaking: Mechi ya Simba na Kagera Yaahirishwa Rasmi Kufuatia Wachezaji wa Simba Kuugua Mafua Makali

Taarifa rasmi Kutoka TFF

Homa Kali ya Mafua Yatibua mechi ya Simba VS Kagera iliyopangwa kuchezwa leo Uwanjani Kaitaba Bukoba

Wachezaji wa Simba takribani 13 wapo hoi kwa Mafua

KaziIendelee

Tuzingatie Kanuni za afya
Kwani Mafua Ugonjwa?

Corona hiyo!
glq.jpg
 
Chanjo imeletwa haraka "Fast Track Method" wakati utafiti wa kirusi cha COVID-19 ilikuwa bado kabisa kukamilika sasa haya ndio matokeo yake, virusi bado vinakushambulia hata baada ya kuchanjwa.

Hadi pale utafiti kamili utakapokamilika na kirusi hichi kutambulika kabisa tabia yake ndipo chanjo kamili ambayo itakuwa effective itakapo gunduliwa lakini kabla ya hapo mapambano dhidi ya hicho kirusi yataendelea kuwa "Trial and Error".

Hakuna chanjo inayo gunduliwa kwa miezi kadhaa tu, uvumbuzi wa chanjo huchukua miongo mingi kuja kuwa effective, kwa sasa tutaendelea tu kubangaiza na hizi zilizopo sokoni kwa sasa ambazo kutokana na mutation nature ya hichi kirusi ni kama ndio zinajihami zaidi badala ya kirusi.
 
Hakuna kuumwa mafua walla nini, hii ni strategy ya kujikusanyia viporo vingi kwa ajili ya raundi ya pili ili viporo hivi wavile ki urahisi
 
Hakuna kuumwa mafua walla nini, hii ni strategy ya kujikusanyia viporo vingi kwa ajili ya raundi ya pili ili viporo hivi wavile ki urahisi
Ovyo kweli,, yani watu wamefunga safari mpaka kagera,, kisha wasicheze eti kisa viporo,, haya huko ulaya leo kuna game imeaharishwa kwa sababu hizi hizi na ilipangwa kabisa ichezwe, huko nako wanataka viporo?? Acha uchawi wewe!!
 
Taarifa rasmi Kutoka TFF

Homa Kali ya Mafua Yatibua mechi ya Simba VS Kagera iliyopangwa kuchezwa leo Uwanjani Kaitaba Bukoba

Wachezaji wa Simba takribani 13 wapo hoi kwa Mafua

KaziIendelee

Tuzingatie Kanuni za afya
Na Prison vs Yanga kesho itahairishwa kwa hali halisi timu kutoka Dar zinachangamoto ya Mafua na homa kali
 
Si mnasema mazoezi hutoa mafua. Ingizeni timu uwanjani kukimbia tu mafua hukata.
Nb:mafua siyo ugonjwa kwa Muafrika
 
Wachezaji 30 ukitoa 13 si wanabaki 17 au??na uwanjani wanacheza 11 sub watano.
Au ile kauli ya kikosi kipana msimu huu haipo tena?
 
Back
Top Bottom