babkaju3
Senior Member
- Mar 9, 2015
- 118
- 92
Habari wa jamii nina gari yangu vitz ina tatizo la break za mbele kupata sana moto sana(ku jam) kila nikitembea baada ya km 20 nimekwenda kwa fundi wangu kaisha safisha caliper (lile jumba la break pads) zaidi ya mara 4 pamoja na kuweka gasket kwenye master cylinder lakini tatizo bado nimekuja kwenu kuomba ushauri zaidi kutoka kwa wenye taaluma waliopo humu ndani asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app