Break za mbele kupata moto sana

babkaju3

Member
Mar 9, 2015
96
125
Habari wa jamii nina gari yangu vitz ina tatizo la break za mbele kupata sana moto sana(ku jam) kila nikitembea baada ya km 20 nimekwenda kwa fundi wangu kaisha safisha caliper (lile jumba la break pads) zaidi ya mara 4 pamoja na kuweka gasket kwenye master cylinder lakini tatizo bado nimekuja kwenu kuomba ushauri zaidi kutoka kwa wenye taaluma waliopo humu ndani asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,887
2,000
Brwakpad nyingi nowdays ni fekero.. Siku mbili tu zinaoiga miluzi.. Zingine zinadondoka chini kabisa
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
16,431
2,000
Brwakpad nyingi nowdays ni fekero.. Siku mbili tu zinaoiga miluzi.. Zingine zinadondoka chini kabisa
Halafu ni bora ununue feki kuliko original zilinitesa sana hizo wanaita original,nikaamua kufunga feki huwezi amini sijawahi kusikia noise wa kelele, wizi mwingi huwa unafanyika kwenye original
 
deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
894
500
habari wa jamii....nina gari yangu vitz ina tatizo la break za mbele kupata sana moto sana(ku jam) kila nikitembea baada ya km 20 nimekwenda kwa fundi wangu kaisha safisha caliper (lile jumba la break pads) zaidi ya mara 4 pamoja na kuweka gasket kwenye master cylinder lakini tatizo bado nimekuja kwenu kuomba ushauri zaidi kutoka kwa wenye taaluma waliopo humu ndani....asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mtaalam sana wa magari lakini nilipata shida km hyo ikatatuliwa kwa kulegeza brake, yani ilikua ukigusa tu zinashika then nikitembea dakika 20 inajam fundi ali-adjust breki kidogo ikawa nikishika brake naipata kuanzia chini kidogo na tatizo likaishia hapo karibu mwaka sasa..
 
samahani yako ilikuwa ni aina gani ya gari ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom