Break Point ya Kinondoni makaburini badilikeni

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,178
6,237
Kwa kweli ni sehemu nzuri sana ya kupata msosi, iwe asubuhi mchana sijui jion. Tatizo customer care mbovu kabisa sijapata kuona. Haiwezekani mtu anafika anakaa kwenye meza dk 20 hadi 30 hakuna hata muhudumu anahangaika na wewe kukuuliza. Siku moja nilikuwa na wageni wangu tukaenda kupata supu asbh dah walishangaa sana maana tulikaa 30min hadi tunaondoka hakuna hata mtu aliyetuliiza.
Sasa kwa mwendo huo mnamharibia biashara boss wenu maana nyie wahudumu mnazingua sana
 
Mkurugenzi akipata taarifa hii lazima atawapiga vibao wafanyakazi wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom