BREAK NEWS: Mbagala Kwa Mangaya Nyumba 15 zatolewa Paa na Upepo Mkali

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,542
6,669
Habari nilizozipata hivi punde, Mbagara kwa Mangaye nyumba zinazidi kuezuliwa na upepo mkali, wakazi wengi wap nje wanaangaika kusubiri hatima ya
Nitawaeleza zaidi

Source simu kutoka kwa mfanyakazi wa huko nyumba yake ni miongoni
 

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,203
25,648
Malaria Sugu, jamaa yetu sijui kama kasalimika!
Nasikia Malaria Sugu, huwa anakaa Mbagala Magaye!
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,542
6,669
yaani noma matofali yanaanguka ovyo, hakuna taarifa za vifo ila mabati yamewajerui
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527
hapa ndio inakamilisha yale maneno ya jana kwenye kipindi cha malumbano ya hoja ITV...

pole sana na pia msisahau kutumia twiga cement wakati mnarekebisha nyumba zenu..
 

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,931
2,545
...iihshh..! tupiamo na kapicha basi mkuu,poleni wazee wa mbagala...!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom