Bread and breakfast ya ay

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,359
Kwenye video mpya ya AY inayoitwa leo kuna clip mwisho ya wimbo wake mpya unaitwa Bread and Breakfast nilipata taabu sana kuelewa anachomaanisha, nilipo wauliza machizi wa mtaa wakaniambia hiyo ni chai na mkate mazee.Hapo ndipo nilipofunguka macho na kuona hili bonge la direct translation na kama kuchemka hii imevunja record. Kwa kuwa AY anamuelekeo wa kuwa international artist wazee hizi mistake zimekaa vipi?
 
ahahahahaha...kaka A-Y yupo vizuri naamini hakumaanisha bread and breakfast..alimaanisha b&b Bed and Breakfast..si unajua tena wasanii mambo ya lugha ya picha...si unajua ile unaboard kwenye hotel ... kwa hiyo baada ya usingizi unapewa na cha asubuhi..almaarufu kama staftahi...ndo manake...kwa hiyo kama upo fasta nowdays unaweza kumdte m2 na kutoa au kuomba ofa ya B&B kaka.....na si vinginevyo ....
 
kwenye video mpya ya ay inayoitwa leo kuna clip mwisho ya wimbo wake mpya unaitwa bread and breakfast nilipata taabu sana kuelewa anachomaanisha, nilipo wauliza machizi wa mtaa wakaniambia hiyo ni chai na mkate mazee.hapo ndipo nilipofunguka macho na kuona hili bonge la direct translation na kama kuchemka hii imevunja record. Kwa kuwa ay anamuelekeo wa kuwa international artist wazee hizi mistake zimekaa vipi?

labda kwenye lugha zao za ki-west coast wanataka ku-introduce hiyo term tuitohoe na kuizoea; nadhani haitakuwa ya kwanza kuonyesha tunavyovunja kiswahili ili kuleta flow ya kisanii

on the other side; vipi kama ina maana bread and breakfast hivyohivyo? Au ni bed and breakfast ki-tafsida? Au anamaanisha mkate mwingine tuuu tusioujua??

Lets hear the whole song na maelezo yake pia---- usanii una viunga vyake sometimes vinachanganya
 
Lets hear the whole song na maelezo yake pia---- usanii una viunga vyake sometimes vinachanganya

kaka ile kitu ni BED & BREAKFAST...nitawasiliana na mdau kama atakubali kutoa blue-print ya lyrix za hilo dude nitaliweka hewani wadau tulijadili...ila A-to the wizzy ni noma..kijana kakaa kibiashara zaidi...anxiously dressed to make 'em greens.
 
Mkuu hapo utakuwa ume-make my day!!! The boy is a legend kwa bongo---smart, strategic, talented and most of all he knows his stuff!!!
 
kaka ile kitu ni BED & BREAKFAST...nitawasiliana na mdau kama atakubali kutoa blue-print ya lyrix za hilo dude nitaliweka hewani wadau tulijadili...ila A-to the wizzy ni noma..kijana kakaa kibiashara zaidi...anxiously dressed to make 'em greens.

Fanya hivyo ulete hizo lyrics ila si kwa ubaya tunamtakia mema kijana wetu makosa kama haya yanaweza kumharibia sana iwapo atapata deal kubwa na recording copmanies za ukweli, hivi huwa wana washauri hawa wasanii wetu?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom