Breaking Newz...

Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana

Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana

Na mimi sijui ninachosema

Je wewe unaelewa unachosoma ??
Mbona na wewe hujulikani? Jianaume zima linajifanya jianamke, msxcheeew!
 
Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana

Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana

Na mimi sijui ninachosema

Je wewe unaelewa unachosoma ??
Vuta kidogo usizidishe. You are endangering your thinking ability
 
Back
Top Bottom