Taarifa kutoka Radio One,saa 7:00 mchana.
Waziri mkuu Mizengo Pinda,yupo ziarani nchini Brazili ambako amekutana na waziri wa nishati na madini wa nchi hiyo ili iwasaidie kuondokana na tatizo la umeme hapa nchini.
Waziri wa nishati na madini wa Brazili amekubali kuisaidia Tanzania na kuahidi kuongea na wataalamu wa kufua umeme wa huko Brazili.