Brazil yamtimua Kocha wa timu ya Taifa Carlos Caetano Bledorn Verri (Dunga)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,660
239,151
Wakati TFF na Jamal Malinzi wakiendelea kumkumbatia kocha mbovu Charles Boniface Mkwasa , tayari shirikisho la soka la Brazil limemtupia mfuko wake wa Rambo kocha wao Dunga .

Anatuhumiwa kusababisha timu yao kung'olewa mapema kwenye makundi kwenye michuano ya copa America .

======

Dunga has been sacked as Brazil head coach after their shock exit from the Copa America.
Ck7xf9EWgAAWR9p.jpg

Dunga, who captained Brazil to World Cup success in 1994, was named national coach for a second time in 2014.

But the team were knocked out in the group stage of the Copa America for the first time since 1987 as they lost 1-0 to Peru in Massachusetts on Sunday.

Dunga, 52, had previously been in charge from 2006 to 2010, winning the Copa America in 2007.

Corinthians manager Tite is the favourite to succeed him.

The 55-year-old led the club to the Brazilian Serie A title in 2011 and 2015, as well as the Copa Libertadores and World Club Cup in 2012.

Whoever succeeds Dunga will lead Brazil's under-23 squad, including Barcelona forward Neymar, in August's Olympic Games in Rio de Janeiro.

Dunga's replacement will also take over a Brazil side which has made a poor start to qualification for the 2018 World Cup in Russia, occupying sixth place in the South American qualifying group.

Chanzo: BBC
 
Hahahaaa nilijua tu pink slip inakuja toka CBF.

Brasil wanapitia wakati mgumu sana kisoka sasa hivi.

Vipaji naona vipo, tena vingi tu. Tatizo ni commitment. Naona wachezaji wengi siku hizi ni mabrazameni tu.
Kuna wanaodai soka lao lilianza kudorora baada ya wachezaji wao wengi kwenda kucheza ulaya.
 
Hahahaaa nilijua tu pink slip inakuja toka CBF.

Brasil wanapitia wakati mgumu sana kisoka sasa hivi.

Vipaji naona vipo, tena vingi tu. Tatizo ni commitment. Naona wachezaji wengi siku hizi ni mabrazameni tu.
Sana ujakosea malimbukeni vile vile watembea na lipsticks
 
mkwasa asihusishwe kwa lolote

tangu awe kocha angalau tumu ya taifa inacheza na kupata magoli
Watanzania wapuuzi kweli.

Kuna jamaa humu alikuwa hapiti siku bila kuanzisha thread ya Kim Paulsen akimponda vikali, baada ya muda Kim Paulsen akasepeshwa.. Akaja yule miwani meusi.

Baada ya muda Jamaa akawa anaanzisha thread ya kumkumbuka Kim Paulsen kwamba aliweza kujenga timu ya kuwapiga wamoroko bao tatu.

Sasa huyu nao anataka Mkwasa aondoke. Sasa muulize swali kuwa ni nani anafaa? Huenda akamwambia kuwa tumpe mzungu. Na akipewa mzungu baada ya muda, atarudi humu kuanzisha thread za kutaka mzungu afukuzwe.

Yaani raha yao ni kuona Watu wanaajiliwa na wanafukuzwa ndani ya muda mfupi. Halafu most of these People zinaamini kuwa Stars ikiwa na ferguson kama kocha mkuu na Mourinho kama kocha msaidizi basi tunaweza kubeba kombe la dunia.
 
Huwezi kupewa nafasi kwa kigezo cha "uzawa",kigezo hiko hakiwezi kujustify uwezo wako.
Kwa mtazamo wangu hata "mzawa" wetu nae alitakiwa asepeshwe mapema tu. Timu haijabadilika kiuchezaji na hata mbinu na maono ya kocha yanaonekana yamefika kikomo.
Kudos CBF kumtimua "mzawa"wao ambae bado hajalinufaisha taifa lao
 
Watanzania wapuuzi kweli.

Kuna jamaa humu alikuwa hapiti siku bila kuanzisha thread ya Kim Paulsen akimponda vikali, baada ya muda Kim Paulsen akasepeshwa.. Akaja yule miwani meusi.

Baada ya muda Jamaa akawa anaanzisha thread ya kumkumbuka Kim Paulsen kwamba aliweza kujenga timu ya kuwapiga wamoroko bao tatu.

Sasa huyu nao anataka Mkwasa aondoke. Sasa muulize swali kuwa ni nani anafaa? Huenda akamwambia kuwa tumpe mzungu. Na akipewa mzungu baada ya muda, atarudi humu kuanzisha thread za kutaka mzungu afukuzwe.

Yaani raha yao ni kuona Watu wanaajiliwa na wanafukuzwa ndani ya muda mfupi. Halafu most of these People zinaamini kuwa Stars ikiwa na ferguson kama kocha mkuu na Mourinho kama kocha msaidizi basi tunaweza kubeba kombe la dunia.

Ishu sio kuona raha mtu kufukuzwa,je kuna continuation ya uwezo wa kitimu mpaka mtu asifukuzwe?!
Wakati wa kuajiriwa lazima kuna "terms "ambazo mnakubaliana na je ikitokea hujazitimiza?uendelee kuachwa tu bila kufanya cha maana?
Lakini je,kama hujafanya cha maana kwanini ulipwe mshahara??
 
Dunga sio mwalimu nahisi pale kwenye chama chao cha soka kuna mtu anampa 10%,mbinu hana halafu anajitia mjuaji..brazil ina kizazi kizuri sana cha wacheza mpira mahiri kwa sasa ulaya kote..wanahitaji mwalimu wa kuunganisha timu sio bora mwalimu kama dunga
 
Sijawahi kuona Tanzania ikitandikwa mabao 7 tangu nizaliwe , hii ya Mkwasa kule Algeria ndio Bismillah .
kwani Tz ndo yakwanza kupigwa 7
Hivi ndugu tangu mkwasa aajiriwe timu imecheza mechi ngapi amedumu kikosini kwamiezi mingapi,?

jamaa anahitaji kupewa muda zaidi kumfukuza kocha ndani ya miezi tisa sio sababu ya timu kupata mafanikio

simtetei kwa sababu ni mzawa namtetea kwasababu nimeona mabadiliko!

ila kama umeamua kupinga sawa....
 
Nadhani atakua amesahau Brazil ilichofanyiwa na Mjerumani..............
Mkwasa apewe muda

Nirudi kwenye maada husika CBF wamefanya uamuzi mzuri na wa busara huyu mshikaji alizingua
 
Watanzania wapuuzi kweli.

Kuna jamaa humu alikuwa hapiti siku bila kuanzisha thread ya Kim Paulsen akimponda vikali, baada ya muda Kim Paulsen akasepeshwa.. Akaja yule miwani meusi.

Baada ya muda Jamaa akawa anaanzisha thread ya kumkumbuka Kim Paulsen kwamba aliweza kujenga timu ya kuwapiga wamoroko bao tatu.

Sasa huyu nao anataka Mkwasa aondoke. Sasa muulize swali kuwa ni nani anafaa? Huenda akamwambia kuwa tumpe mzungu. Na akipewa mzungu baada ya muda, atarudi humu kuanzisha thread za kutaka mzungu afukuzwe.

Yaani raha yao ni kuona Watu wanaajiliwa na wanafukuzwa ndani ya muda mfupi. Halafu most of these People zinaamini kuwa Stars ikiwa na ferguson kama kocha mkuu na Mourinho kama kocha msaidizi basi tunaweza kubeba kombe la dunia.
Huna lolote ! Kocha mbovu lazima atimuliwe , timu ya taifa si yako kiasi cha kutaka wabovu wasijadiliwe .
 
Nadhani atakua amesahau Brazil ilichofanyiwa na Mjerumani..............
Mkwasa apewe muda

Nirudi kwenye maada husika CBF wamefanya uamuzi mzuri na wa busara huyu mshikaji alizingua
Baada ya kupigwa 7 na ujerumani uliona scolari kaendelea na kazi ?
 
kwani Tz ndo yakwanza kupigwa 7
Hivi ndugu tangu mkwasa aajiriwe timu imecheza mechi ngapi amedumu kikosini kwamiezi mingapi,?

jamaa anahitaji kupewa muda zaidi kumfukuza kocha ndani ya miezi tisa sio sababu ya timu kupata mafanikio

simtetei kwa sababu ni mzawa namtetea kwasababu nimeona mabadiliko!

ila kama umeamua kupinga sawa....
Mabadiliko ya kufungwa ? Kama mnataka afaidi hela kwasababu yeye ni mzawa si aajiriwe TFF basi ? Hapa tunataka mtu wa ushindi , na Malinzi akileta mchezo tutaanzisha kampeni ya kumtimua yeye na kocha wake .
 
Wakati TFF na Jamal Malinzi wakiendelea kumkumbatia kocha mbovu Charles Boniface Mkwasa , tayari shirikisho la soka la Brazil limemtupia mfuko wake wa Rambo kocha wao Dunga .

Anatuhumiwa kusababisha timu yao kung'olewa mapema kwenye makundi kwenye michuano ya copa America .

======

Dunga has been sacked as Brazil head coach after their shock exit from the Copa America.
View attachment 356597
Dunga, who captained Brazil to World Cup success in 1994, was named national coach for a second time in 2014.

But the team were knocked out in the group stage of the Copa America for the first time since 1987 as they lost 1-0 to Peru in Massachusetts on Sunday.

Dunga, 52, had previously been in charge from 2006 to 2010, winning the Copa America in 2007.

Corinthians manager Tite is the favourite to succeed him.

The 55-year-old led the club to the Brazilian Serie A title in 2011 and 2015, as well as the Copa Libertadores and World Club Cup in 2012.

Whoever succeeds Dunga will lead Brazil's under-23 squad, including Barcelona forward Neymar, in August's Olympic Games in Rio de Janeiro.

Dunga's replacement will also take over a Brazil side which has made a poor start to qualification for the 2018 World Cup in Russia, occupying sixth place in the South American qualifying group.

Chanzo: BBC
Asante Moderator kwa kuongeza nyama .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom